agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
DunianiHakuna wanawake Tanzania wenye uwezo wa kukataa mwanaume mwenye pesa
Wewe nilishaanza kukupenda ukiwa maskini tayariNgoja nitafute hela nitakuja, na uzee huu huchomoi![]()
Hahaha, sikuachi hata. Japo nina wapinzani miaWewe nilishaanza kukupenda ukiwa maskini tayari

Hahaha hahaha hahahaHahaha, sikuachi hata. Japo nina wapinzani mia![]()
Ukishakuwa nijulishe tafadhali, sitajali mambo mengine nitakuwa mvumilivuNaelekea kuwa bilionea![]()
Basi saizi yangu wewe hata Mimi nilishuhudia .Enzi zetu hamna vyeti, nakumbuka kulikuwa na shambulio kubwa la nzige.
Ndoa ya kikristo inatenguliwa lakini kwa utaratibu maalum.Hivi wakati mengi anamchukua na kufunga naye kinachosadikika ni ndoa nje ya nchi...Je!! ile ndoa ya awali aliyokuwa amafunga kwa taratibu za kikristu ambayo ni ndoa ya mke mmoja na mme mmoja isiyotenguliwa hadi kifo, je ndoa hiyo ilitenguliwa na nani wkati mke halali wa mengi alikuwa bado hai?
Kuhusu hayo mengine, wala "sitakuangusha" kwa sababu hatutasubiri hadi nifike 70, hapo 45 tu nitakuwa na ukwasi wa kukutosha kabisa...Ukishakuwa nijulishe tafadhali, sitajali mambo mengine nitakuwa mvumilivu
Hahaa hamna usijali tupo wengi kuliko unavyodhania.Napenda wanawake kama wewe,wanaojielewa!! Tupo wachache sana...
Mkuu ni kea mujibu wa hear says mtaani hii familia inaishi huku mitaani and they say soUnaweza kuweka evidence ni wapi Jackie alitaka hiyo 50%?
Acha uongo wangine wangetamani hata nafasi ya kupeana naye mkono sembuse kuolewa naye, jamani tuache unafiki hizi nafasi ni za wachache hakuna mwanamke bongo hii angekataa kuolewa na mengiInahitaji moyo kuishi na kibabu .
Wee na nae sio kila MTU anawaza uwazavyo wewe.Acha uongo wangine wangetamani hata nafasi ya kupeana naye mkono sembuse kuolewa naye, jamani tuache unafiki hizi nafasi ni za wachache hakuna mwanamke bongo hii angekataa kuolewa na mengi