agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Heheheee mtaji vipi?Hata mimi nadhani ile outing yangu nadhani itafeli, manake agata edward atakuwa mdogo sana.
Heheheee mtaji vipi?Hata mimi nadhani ile outing yangu nadhani itafeli, manake agata edward atakuwa mdogo sana.
Hahaha hata ujirani naye hatuna, ila roho zinavyotuuma acha tu. Kweli uchawi sio hadi upae na ungowatanzania na sie tukiamua kuchekesha. Ikitokea Mengi anaamka hapa hakika hawezi kutuelewa. Umesema mali za ndugu yetu? Hahaha hivi sisi ambao roho zinatutoka tuna hata undugu na marehemu?
Hapa kuna Wanaume wenzangu mpaka wakaapa wamachame hawawezi kukubali Jackie akanyage Kijijini.Me mwenyewe siwaelewi; ila nahisi walitaka Jacky na wanae wasiruhusiwe kuwepo msibani; na sielewi ni kwa misingi ipi. Ila binadamu tunatia aibu jamani; mali za ndugu zetu zinatutoa roho mweeh.
Unaweza kuweka evidence ni wapi Jackie alitaka hiyo 50%?ile ya Mengi ilikufa mama alipokufa ,ya Jack haikuhitaji kanisa ,ilifungwa kwa kuisgi chini ya paa moja Kama mke mwaka mmoja hiyo ni ndoa halali,
Tunachomlaumu na kumshangaa dada jaqline ni kutaka 50% ya Mali,atambue nusu ya Mali ni za mama Mengi na walithi ni abigael na Regina ,nusu inayobaki ni ya Mengi walithi ni hao wawili na wadogo zao hivyo Regina na abigael wanabeba 75 per kylin 25% ambayo jamani ni 100mil USD kwa mujibu wa Forbes ,Sasa Hawa mabush lawyer wanamdanganya apambane apate nusu jamani wamachame watamuua yy au watoto achukue fair yake akae kimya
Hahaa na kijijini anaenda. Na anapewa heshima zote kama mke wa marehemuHapa kuna Wanaume wenzangu mpaka wakaapa wamachame hawawezi kukubali Jackie akanyage Kijijini.
Yaani Mtu mzima kama Mengi afanye maamuzi yake ya kupata mpenzi, kuoa tena wakati ameshaachana na Mke wake way back leo mliobaki muanze kuweka masharti, pumbavu kabisa.
Tupo makini. Tunaangalia mpaka facial expression, kadri utavyokuwa na majonzi sana ndivyo mgao utakavyokuwa mkubwa! Na kwa taarifa yako ole wako kama Jackie hajatoa machozi jana na leo hapati hata senti tano. Kwanza mali ya Mengi tuna mamlaka nayo. Mwisho wa kunukuuHahaha hata ujirani naye hatuna, ila roho zinavyotuuma acha tu. Kweli uchawi sio hadi upae na ungo
Teeeh, mtaji hadi outing bwana!!Heheheee mtaji vipi?
Hahaha nkamu unanifurahisha. Kwa sababu tu ya chuki zao zisizo na msingi watu wameamua kuamini huo upuuzi. Mzee was very smart, so possibly kila mtu ameshapewa cha kwake mapema.Unaweza kuweka evidence ni wapi Jackie alitaka hiyo 50%?
Naelekea kuwa bilioneaBinafsi nisingekataa , namkataaje Billionaire jamani?? Hata shetani atanishangaa



Hahaa walitaka Jacky alie kwa kujigalagaza kama ndugu zangu wanyakyusa.Tupo makini. Tunaangalia mpaka facial expression, kadri utavyokuwa na majonzi sana ndivyo mgao utakavyokuwa mkubwa! Na kwa taarifa yako ole wako kama Jackie hajatoa machozi jana na leo hapati hata senti tano. Kwanza mali ya Mengi tuna mamlaka nayo. Mwisho wa kunukuu
Lawyer wa marehemu ana huo muda mchafu wa kupigizana kelele hapa?Mkuu wewe ni lawyer wa marehemu?
abigael=Abdiel
you never know