Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hivi wanaume huwa hamna wivu jamaniWivu.
Hivi wanaume huwa hamna wivu jamaniWivu.
Wivu tunao lakini tofauti yetu sisi hatuchukiani kama ninyi wanawake.Hivi wanaume huwa hamna wivu jamani
Suala kwamba mimi nitakubali, Heaven Sent atakubali espy atakubali bado haizuii ukweli kwamba wapo watakaokataaJF raha sana, najua humu wa kukataa mpo wengi sana.
Hapo kwa kifo unatusingizia jamanii!Wivu tunao lakini tofauti yetu sisi hatuchukiani kama ninyi wanawake.
Wanawake mnachukiana kiasi cha kuombeana hata kifo mna hatari sana nyie watu
Ewaaaaa....Suala kwamba mimi nitakubali, Heaven Sent atakubali espy atakubali bado haizuii ukweli kwamba wapo watakaokataa
Yes, ndio maana nikasema humu wengi watakataa.Suala kwamba mimi nitakubali, Heaven Sent atakubali espy atakubali bado haizuii ukweli kwamba wapo watakaokataa
Kuna comment za baadhi ya wanawake humu humu jf zinathibitisha hilo.Hapo kwa kifo unatusingizia jamanii!
Hivi wivu si ndo huzaa chuki jamani
Ohooo...Kila mtu ana wivu. Hujasikia msemo 'wivu wa kike'?
MtuombeeKuna comment za baadhi ya wanawake humu humu jf zinathibitisha hilo.
Wivu ukizidi sana sio mzuri, kila jambo kwa kiasi.
Wanaume wanaweza kuishi nyumba moja wasigombane na wakigombana wanakaa wanayamaliza, Wanawake ni vigumu sana
Haya naanza kushusha maombi hapaMtuombee
HallelujahHaya naanza kushusha maombi hapa
Ameeeeeeeeeen!Hallelujah
Kabisa. "ALL" is such a strong wordSuala kwamba mimi nitakubali, Heaven Sent atakubali espy atakubali bado haizuii ukweli kwamba wapo watakaokataa
Mkuu na wewe nawe ni mfuasi wa chama letu Lile linalotoa boko Hadi kwa timu zilizoshuka daraja?nimeona Uzi kwenye avata hapo nikaona niulize!!maana hizi stori zenu zinavyopandana humu Hadi nimevurugwa si utani!Bora tu kujilipua Kama hivi maana Kuna sehemu hapa wamenichana kabisa wananifananisha na mfu eti sijaangalia videyo ya utamu ya mtumishi!nambie Kama na wewe ni mwanachama wa chama la wana ingawa tunatoa Sana maboko zis taimu araundi.Huyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
Na wako bitter kweli, na wame-dragg issue iwe ya Klyin na hujuma dhidi ya Mzee wetu wa Kichaga. Mali ya Mengi imegeuka ya Kabila...hahahaaaWivu mkuu, ila pia naamini wanawake wa kichaga wengi wana hasira na Jackie.
Im number one Man Utd fan. GGMUMkuu na wewe nawe ni mfuasi wa chama letu Lile linalotoa boko Hadi kwa timu zilizoshuka daraja?nimeona Uzi kwenye avata hapo nikaona niulize!!maana hizi stori zenu zinavyopandana humu Hadi nimevurugwa si utani!Bora tu kujilipua Kama hivi maana Kuna sehemu hapa wamenichana kabisa wananifananisha na mfu eti sijaangalia videyo ya utamu ya mtumishi!nambie Kama na wewe ni mwanachama wa chama la wana ingawa tunatoa Sana maboko zis taimu araundi.
Sorry kwa mtibuo,haya ni matokeo ya kuvurugwa kuanzia kule kwenye chama letu Hadi huku kwenye mastori ya bongoland!
Inastaajabisha sana ujuwe, mzee kaona wanawake kibao tena wengine watu wazima kabisa lakini kaamua kuwa na Jackie, na kuna sehemu nasikia alisema Jackie was the best thing that happened to him, na anatamani wakutane tena katika maisha mengine.Hahaha nafikiri namkumbuka, she sounded so bitter. Hivi Mengi hakuona wazee wenzie akamfuata Jacky? Ndo wale wale wanaolaani ooh kwa nini mama Mercy hakutambulishwa msibani kama ni 1st wife wa mzee, khaaa kisa ni Mengi au?

Ukweli anaujua yeye, huenda pesa au upendo. Ila hata ingekuwa wewe mbele ya bilionea huchomoi AgathaKwahiyo jack kafwata pesa sio mapenzi?
