Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Hakuna anaepibga kuolewa kwake ila ni care aliyompa mzee na haya yanayosemwa ndiyo huleta ukakasi.
Bruce Forsyth alimuoa miss Puerto Rica alikua 25 yrs her senior age wise. Lakini ali mtunza mzee mpaka alipoaga dunia akiwa na 89. Wala hakuna anaemuita yule dada gold digger.

Katika maoenzi age is just a number.
Technically umenijibu kuwa wengi wangekubali wangepata hio nafasi.
 
Technically umenijibu kuwa wengi wangekubali wangepata hio nafasi.
Kwenye maisha ya msichana akifika 25 awe amemaliza chuo ana first degree, hapa hata akiolewa na muuza karanga maisha yatakenda.

Kama ali bugi steps hakufika huko kuna life lines, life line mojawapo ni kumpata rich man.
 
Kwenye maisha ya msichana akifika 25 awe amemaliza chuo ana first degree, hapa hata akiolewa na Muzak karanga maisha yatakenda.

Kama ali bugi steps hakufika huko kuna life lines, life line mojawapo ni kumpata rich man.
Oh ok, hii ni kanuni ya ngapi ya maisha?
 
Kuna dada mmoja kwenye uzi wa mama Mercy kufariki alimponda sana Jackie utadhani yeye asingekubali kuolewa na Mengi. Hata hivyo, huyo Jackie ni wapi alikosea, si mzee alimtaka na kumuoa?

Generally binadamu tuna wivu sana.
 
We marry for different reasons. Wengine tunaolewa kwa sababu tunaamini bila ndoa hatujakamilika, wengine umri umeenda, wengine tunatafuta financial security, wengine wamependana etc. As long as waoanaji wameridhiana, who are we to judge? Mama twins aliyempendea Mzee hela, nani aliyempendea mumewe umaskini?
Afu dunia hii kuna mwanamke gani ambaye angeolewa na Mengi (apart from his 1st wife) na isionekane kafuata hela? Mama twins ana bahati, alipendwa na mzee and he respected, appreciated and honored her. Vitu ambayo pengine hata hawa wanaume zetu tuliowapendea umaskini wao can't offer us. Mzee ameishi maisha yake na mama twins na ameyaenjoy; kazi kwetu tuliobaki.

Afu wengine tuna guts za kumuita mama twins gold digger kisa mzee alikuwa na ukwasi; tunajisahaulisha wengine tulivyoenda kwa bae siku ya kwanza na kukuta ana sub woofer, friji na tv, tukaona maisha ndo haya. Baada ya siku kadhaa tukahamishia kabisa na mizigo yetu na kubeba na mimba juu teh; ndoa itakujaga Wengine nyumbani maisha magumu so unahamia kwa mwanaume ili upunguze ukali wa maisha; what should we call that? Tusihukumu

Back to your question; naamini wapo wanawake ambao despite ukwasi wa Mzee; bado wangekataa kuolewa naye kwa sababu zenye mashiko kwao. We are diverse
Safi sana sisy darling, sina hata la kuongeza.
 
Kuna dada mmoja kwenye uzi wa mama Mercy kufariki alimponda sana Jackie utadhani yeye asingekubali kuolewa na Mengi. Hata hivyo, huyo Jackie ni wapi alikosea, si mzee alimtaka na kumuoa?

Generally binadamu tuna wivu sana.
Hahaha nafikiri namkumbuka, she sounded so bitter. Hivi Mengi hakuona wazee wenzie akamfuata Jacky? Ndo wale wale wanaolaani ooh kwa nini mama Mercy hakutambulishwa msibani kama ni 1st wife wa mzee, khaaa kisa ni Mengi au?
 
Huyo binti alikuwa sahihi kabisa kuolewa na marehemu Mengi...Jamani maisha ni pesa...pesa ndio Kila kitu dunia hii...na kuipata pesa ndio iko shida..Sasa mtu tayari anapesa umkatae kisa Mzee...wavulana wengi tu wameolewa na wamama humu mjini kisa pesa... Mm naona hapa aliekosea ni Marehemu Mengi...angefanya kawe kamchepuko tu lakini sio kufunga ndoa...mapenzi mkipishana Sana umri yanakuwa hayana Raha na changamoto za kutosha .
 
Kuna dada mmoja kwenye uzi wa mama Mercy kufariki alimponda sana Jackie utadhani yeye asingekubali kuolewa na Mengi. Hata hivyo, huyo Jackie ni wapi alikosea, si mzee alimtaka na kumuoa?

Generally binadamu tuna wivu sana.
Mimi nashangaa sana huyu dada anavyopondwa.
 
Ni mambo ya Mungu. Tunajadili mambo ambayo hayatuhusu. Ila pia natamani kujua hao wanaojadili kuhusu mama chanja was the late Dr. Ndio wamejua kuwa ni mke wake baada ya kufariki. Tuache unafiki si tungesema wakati yupo hai. Mgao wa kaisari yao hatupati hata mbuni. Mi nafikiri tumpe pole bi dada inatosha kumfariji. Mungu wa faraja awatie nguvu na faraja wafiwa wote na ailaze roho ya marehemu inapostahili kulazwa Aimeen
 
Wanawake ni jamii ya watu wanaochukiana sana wao kwa wao ndugu, huwa wanaoneana wivu hata wanapoona mwenzao kaenda msalani watalazimika na wao waende hata kama hawajabanwa na haja ili waonekane wapo levo moja
ha ha ha jamani
 
Back to your question; naamini wapo wanawake ambao despite ukwasi wa Mzee; bado wangekataa kuolewa naye kwa sababu zenye mashiko kwao. We are diverse
Very very very very very few.........negligible.
 
Kuna dada mmoja kwenye uzi wa mama Mercy kufariki alimponda sana Jackie utadhani yeye asingekubali kuolewa na Mengi. Hata hivyo, huyo Jackie ni wapi alikosea, si mzee alimtaka na kumuoa?

Generally binadamu tuna wivu sana.
Inahitaji moyo kuishi na kibabu .
 
Back
Top Bottom