Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Hivi wakati mengi anamchukua na kufunga naye kinachosadikika ni ndoa nje ya nchi...Je!! ile ndoa ya awali aliyokuwa amafunga kwa taratibu za kikristu ambayo ni ndoa ya mke mmoja na mme mmoja isiyotenguliwa hadi kifo, je ndoa hiyo ilitenguliwa na nani wkati mke halali wa mengi alikuwa bado hai?
Swali zuri sana!
Kama unaakili vizuri binti wa umri ule huwezi kukubali kuolewa na mtu ambaye ameshaoa tayari na unajua kabisa ndoa ya kikristo ni moja...angekuwa mchepukoi permant basi lakini si kuolewa....
So kama alifuata mali hilo linawezakana pia.
 
We marry for different reasons. Wengine tunaolewa kwa sababu tunaamini bila ndoa hatujakamilika, wengine umri umeenda, wengine tunatafuta financial security, wengine wamependana etc. As long as waoanaji wameridhiana, who are we to judge? Mama twins aliyempendea Mzee hela, nani aliyempendea mumewe umaskini?
Afu dunia hii kuna mwanamke gani ambaye angeolewa na Mengi (apart from his 1st wife) na isionekane kafuata hela? Mama twins ana bahati, alipendwa na mzee and he respected, appreciated and honored her. Vitu ambayo pengine hata hawa wanaume zetu tuliowapendea umaskini wao can't offer us. Mzee ameishi maisha yake na mama twins na ameyaenjoy; kazi kwetu tuliobaki.

Afu wengine tuna guts za kumuita mama twins gold digger kisa mzee alikuwa na ukwasi; tunajisahaulisha wengine tulivyoenda kwa bae siku ya kwanza na kukuta ana sub woofer, friji na tv, tukaona maisha ndo haya. Baada ya siku kadhaa tukahamishia kabisa na mizigo yetu na kubeba na mimba juu teh; ndoa itakujaga Wengine nyumbani maisha magumu so unahamia kwa mwanaume ili upunguze ukali wa maisha; what should we call that? Tusihukumu

Back to your question; naamini wapo wanawake ambao despite ukwasi wa Mzee; bado wangekataa kuolewa naye kwa sababu zenye mashiko kwao. We are diverse
 
We unahisi kila mwanamke yupo tayari kuolewa na mzee hata kama ana mahela? Lol
Wengine tulikuwa tunamshangaa alivyo na utayari na roho ngumu, mnahisi eti uwivu.
 
Historically,kuna waliokataa to begin with...

1.Mke wake wa Kwanza: Technically alioelewa,ila alikuja kupiga chini,sijui tuisemeje hiyo

2.Madam Ritha:Alipiga chini mazima

3.Dada Mwanasheria : Piga chini mazima

I'm sure among Tanzanian women population ukifanya sensa kuna watakao kubali na watakao kataa vile vile!
Hujaelewa, ndio maana unataja hata mke wake wa kwanza.
 
We unahisi kila mwanamke yupo tayari kuolewa na mzee hata kama ana mahela? Lol
Wengine tulikuwa tunamshangaa alivyo na utayari na roho ngumu, mnahisi eti uwivu.
Hongera.
 
Wanawake ni jamii ya watu wanaochukiana sana wao kwa wao ndugu, huwa wanaoneana wivu hata wanapoona mwenzao kaenda msalani watalazimika na wao waende hata kama hawajabanwa na haja ili waonekane wapo levo moja
Agiza maji nakuja kulipa!.
Yaani tuna chuki za waziwazi kabisaaa
 
Huo ni wivu tu unaowasumbua baadhi ya wanawake,
Mimi binafsi sikupenda kabisa walivyomsakama dada wa watu.
Nataka nijue mwanamke ambae angepewa proposal kama ya Klyn na kukataa.
 
Back
Top Bottom