Police ------- tu, watawafyatuliaje risasi warembo ambao wangewakamata bila ugomvi, kweli polisi wabongo wazembe yaani wameshindwa kuwakamata madem mpaka wamewapiga risasi, afu ni uzalilishaji kudadeki, mbona majambazi wanapora benki hawawapigi risasi? wezi mamilioni serikalini hawawapigi risasi? Mbona yule amesema ziwa nyasa lake hamjafanya kitu, mbona yule alimpiga biti mkuu wenu kama mtoto mdogo hamkumfyatulia risasi????? nataka majibu, Yule aliebaka mwanafunzi mbona hamkumpiga risasi ya dudu???? kuna tofauti gani kubaka na kucheza uchi. kama nyie wababe si mwende kenya mkawasaidie wenzenu kupambana na alshabab????? mambo madogo mnatumia nguvu kubwa afu makubwa mnajifanya mnajua sana kwenda mezani, kwa nini msiende mezani na kanga moko mkawapa kazi mbadala. irresponsible workers!!!