Mpaka sasa hapa ni porojo tu ndio zinapigwa, hakuna taarifa iliyokamilika nani kawapiga na kisa cha kupigwa ni nini.
Hongera sana wewe kwa kuwa ulipata nafasi ya kuwa vizuri ki uchumi, ujui hawa kwanini wanajiuza
huwapendi kwa sababu hujui kunengua kama wao acha wivuAfadhali yaani siwapendi kama nini
Afadhali yaani siwapendi kama nini
ili yawe tentementesasa ndio nini kuwapiga kwenye makalio?
sasa ndio nini kuwapiga kwenye makalio?
Afadhali yaani siwapendi kama nini
Afadhali yaani siwapendi kama nini
Wewe una ushahidi amewahi kumuzia baba ako?
Wivu tu umewajaa watu. Pole zenu kina da mwana kwa majanga..
Kwani wewe anakupenda nani KENGE wewe! Wenzio wamepata matatizo wewe unaleta Ngonjera za kumpenda mtu kwani wao wanataka uwapende? Na ni nani hasa wewe ambaye usipowapenda watu inakuwa shida kwao.
Baba wa mwenzio ameingiaje mbona mnawaadhibu watu wasioweza kujitetea.......
Inasemekana kuwa wale wana Dada wa kundi la Kanga Moko wamepigwa Risasi muda huu.... Walipokuwa wakicheza matarumbeta kwenye harusi. Mmoja kapigwa Risasi ya makalio, Mwingine ya paja. Wamekimbizwa hospital ya mwananyamala kupata matibabu.
![]()
![]()
Mpigaji wa risasi ni mwanaume au ni mwanamke