Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Polisi huko mwananyamala wapiga wanawake wawili kwa risasi wakiwa katika sherehe. Chanzo cha kuwapiga risasi ati ni kuwazuia kufanya sherehe mda huo wa saa tisa alasiri.Mjeruhiwa mmoja amesema kuwa kabla ya kupigwa risasi alisikia polisi akidai kuwa ataua mtu. Punde si punde alisikia kitu kikifanya paa na yeye akadhani ni mabomu ya machozi kumbe ilikuwa ni risasi. Daktari aliyekuwa akifanya matibabu kwa hao wanawake alificha ukweli na kudai kuwa walichomwa na kitu chenye ncha kali. Kwa hali hii, ilionyesha wazi ni jinsi gani huyo daktari hawezi kufanya kazi yake inavyotakiwa. Source ITV.
 
Sehemu gani ya mwili!!!????
Majeraha yakoje???!!!
Alisikia mlio wa risasi iliyompiga???!!!
Umbali gani alikuwa????
Kama ni doria yaweza kuwa walikuwa na SMG sasa risasi hiyo kwa umbali gani mpaka aisikie na kusimulia? ???!!!!!

Labda kaleta ujeuri kachomwa singe!!!!!!
 
Kkwa mujibu wa report ya Daktari hao wanawake wamepigwa na kitu chenye ncha kali na sio risasi.
 
Safi sana police watachezaje hovyo mchana wa jua kali..tena mbele ya watoto....
 
Kuwapiga risasi sio fair. Kama wana makosa sheria ingechukua mkondo wake tu
 
Acha watwangwe tu kwani tumechoka kuona nyeti zao. Wanatutamanisha alafu wanatunyima. Police oyeeeeeee
 
Acha watwangwe tu kwani tumechoka kuona nyeti zao. Wanatutamanisha alafu wanatunyima. Police oyeeeeeee

These police are looking for soft targets. Siwezi mwita Polisi aliye fanya tukio hili shujaa bali coward. Hawa walitakiwa wakamatwe tu na mgambo au Polisi jamii kwa virungu si kutaka kuwaua. Haya ni matumizi mabaya ya kiwango cha juu ya silaha na ukiukwaji Mkubwa wa haki Za binadamu
 
KWAKO KAMANDA KOVA

Kwa niaba ya wana JF wote naomba uwapandishe vyeo askali wote waliofanya kazi nzuri ya kufumua fumua genge la mateja wa kike.

Pia msisitizo utolewe kwa askali wote kutembeza kichapo kwa wakodishaji na waudhuria na mashabiki na watetezi wa hawa mateja.
 
hawa nao wamezidi mpaka mchana wanafanya maovu hawa kanga moja wanatakiwa kupiga marufuku kwani wanaamasisha ngono zembe
 
tupeni hiyo link ya u tube! please tuko mikoani hatufahau haya mambo
 
tupeni hiyo link ya u tube! please tuko mikoani hatufahau haya mambo

Nenda YOUTUBE andika kanga moja, zitakuja video nyingi angalia kati ya hizo,hakika utaona mambo ya kutisha ya Malaya hao.Chupa ya bia inaza kumani bila kizingiti.
 
Back
Top Bottom