Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Kanikera sana mdunguaji huyo maana hana shabaha kabisa...au alikuwa analenga kitendea kazi?
 
Waislamu wanafanya harusi hata jumatatu. unaona ajabu j5
Kwani kuna dini yeyote inayoelekeza siku maalum ya kuoa au mapendekezo ya mtu?mwishowe utakuja sema champaigne keki ni lazima kwenye harusi!
 
Acha upimbi watu tuna toa misongo yetu ya mawazo nyie mna tuharibia burudani zetu.

Pimbi ni ww uliekosa wa kukutoa msongo wa mawazo mtaani kwako,unaenda kutolea kwa hao maguberi,c uende cassino basi ukajionee nyuchi live hatutakudiss!wangekufa kabisaaaaa!mlengaji hakua na shabaha tu!
 
HUYO MPIGAJI NI SAWA NA AL SHABAB,KWANI WALIMUALIKA AKAWAWEZESHE KIUCHUMI?WATU WANAJISAHAU KAMA MIJINI KILA MTU ANATAKIWA AWE MBUNIFU NA MCHAPA KAZI?au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa.?
 
Matatizo ni kawaida kwa binadamu we msukule,ulitaka upigwe wewe kama ni kitendo kizuri mbona ujaenda wewe kukata mauno nyau we!!!😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
Wape wape,mijitu inashabikia ujinga hovyo kabisa,baeleze baeleweeeee
 
HUYO MPIGAJI NI SAWA NA AL SHABAB,KWANI WALIMUALIKA AKAWAWEZESHE KIUCHUMI?WATU WANAJISAHAU KAMA MIJINI KILA MTU ANATAKIWA AWE MBUNIFU NA MCHAPA KAZI?au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa.?
 
Serikali haiko imara kukomesha upuuzi huu wa Khanga Moko na Baikoko maana ni laana kabisa,,,cha ajabu siku hizi sio mitaani tu hadi kwenye matamasha wanaalikwa na huku askari ye mwenyewe anaona na huku akifurahia.
 
Kisa mpaka sasa ni nini cha kupigwa risasi? Mbona hamueleweki?
 
Yani wangeuliwa kabisa...hakuna watu wananiboa km hawa..mambo ya chumbani wameyaleta hadharani....wanacheeza uchiii kabisaa....shenzi zao
 
...dah!

mambo ya lakisipesa yameishia kwenye risasi za makalio...kaazi kwelikweli
 
Hehehe naona wadada wa JF wana bifu na Khanga moko na baikoko! I wonder why? :confused2:
Anyways mimi sio mshabiki wa wacheza uchi wowote wale huwa nashindwa kuelewa ni kwanini wanaume wengine wanashabikia sana hii kitu.
Navutiwa zaidi na binti aliyevaa kimvuto kuliko aliyoko uchi mbele ya kadamnasi! Ila kuwatakia kifo wakati ni wahangaikaji tu nafikiri ni kuwa to extreme.
 
Sasa wakale wapi?Watu wanafiki sana mnashindwa kuwapiga risasi watu wanaoiba mabilioni ya hela zetu na kutufanya tuwe masikini wa kutupwa mnahangaika na hao wajasiria mali waliojiajiri.
 
Back
Top Bottom