Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Ukifagilia kumaliza tofauti zetu kwa risasi, leo tutaanzia huko kwa kanga moko, kesho tutafikia tofauti ambayo wewe utakuwa nayo.

Mtu akikutwanga risasi napo useme "afadhali".
tumalizane tu, maana hakuan humanity any more

risasi ni kitu kudogo sana ukilinganisha na watoto ana akina mama wanaokufa kila saa kwa kuosa basics huku wezi wanajaladia maisha kiulaining

wacha tupigane risasi za m@t@k0 kitaeleweka siku moja
 
Be careful.what you wish for, you might just get it.
 
hawa waliowapifa kwanini gawahaaza na waliowasababisha kufanya ujinga huo..lowasa, rostam, riz1,ccm...
 
Comrade Kiranga long time never seen you here ! Someone told me that you are in Brazil in certain doppelganger busy watching matches.
Be careful.what you wish for, you might just get it.
 
Last edited by a moderator:
Upigwe risasi kwenye makalio halafu ukalie wheelchair? Masihara haya!

Ulijuaje! Ulishawahi kupiga risasi ya makalio? Nafikiri inategemea na penetration. Kwani hujui kuna watu wameshawahi kupigwa risasi za kichwani na wazima na risasi zimebaki kichwani!
 
Angewamaliza kabisa wanatudhalilisha wanawake kucheza mpaka uvue nguo au maisha ni kukaa uchi tu wakauze hata mandaazi kazi ni nyingi
 
Huyo aliyewapiga risasi ni nani.., yuko wapi..., na amechukuliwa hatua gani hadi sasa..??!!!
 
siipendi adhabu waliyopewa coz ni kubwa mno' pia vile vile navichukia sana hivi vikundi vinavyo haribu maadili ya mtanzania kila uchao.
 
Kibinadamu adhabu hi waliopewa kwa kweli sio hata kama hawana maadili kwenye jamii lakini pia wanajitafutia kipato kwa vipaji vyao wakijuza nao mtawasema wamebuni kamchezo kao nao ndo hayo yamewakuta sasa mlitaka nao wakajazane uwanja wa Taifa kutafuta ajila?
 
Mi siwapendi hata kuwaona wanafanya wanawake sote tuonekane hatufai...acha wawakomeshe waishakatazwa kitambo tu
 
Ukifagilia kumaliza tofauti zetu kwa risasi, leo tutaanzia huko kwa kanga moko, kesho tutafikia tofauti ambayo wewe utakuwa nayo.

Mtu akikutwanga risasi napo useme "afadhali".

kaka mzma.umenena kweli
 
Back
Top Bottom