Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Jamani namshangaa kila asemaye eti wameonewa hayo ni malipo ya ubaya,binafsi siwapendi kabisaaa. ni heri watafute kazi nyingne hiyo siyo kazi. Utakaaje uchi namna ile? Hivi na hao wanaowaita kwenye sherehe zao ni wenzao au ni watu wenye akili timamu halafu wanaarika watu km hao? Wanawake wanadharirishwa sana. Ushauri wangu wanawake mkatae. Uzinzi mtupu.
 
ahahaha afadhali,wamezd kukaa uchi naskiza hekaheka hapa wanaongelea jambo hlo
 
Kanga-404x326.jpg

WATU wawili wakazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, wamejeruhiwa katika tukio lililohusisha risasi za moto linalodaiwa kufanywa na Askari Polisi baada ya kukutwa wakikesha kwenye ngoma za wanenguaji maarufu 'Kanga moko', ambazo tayari zimepigwa marufuku na Jeshi la Polisi nchini. Aidha, taarifa zimesema kuwa tukio hilo lilitokea jana Juni 18, 2014 saa kumi na nusu jioni katika eneo la Shule ya Msingi Kisiwani ambapo FikraPevu imejulishwa...

See more at: Fikra Pevu | Kisima cha busara!
 
huyo askari nae hana maana kisa gan cha kujeruh kipwapwiso cha watu,au alimtingishia kalio af akajua hawez kupewa akakasirika,ahahaha
 
Mmeshapigwa marufuku kwanini bado mnang'ang'ania?

Mambo mengine ni ya kujitakia, poleni hata hivyo
 
Hii habari imeshaletwa hapa mkuu,japo simbaya kwa ambao hawajaiona tukio liba kama siku mbili hivi halafu jana si tarehe 18,leo bi tarehe 20.ahsante
 
habari zenu wanajamvi,naanza kuandika kwa masikitiko makubwa baada ya kusoma topic ya kupigwa risas kundi la vijana wabunifu wa burudani maarufu kama *khanga moko*nashindwa kuelewa ni kwa nini kila burudani anayoibuni masikini inakuwa chukizo mbele za watawara wenye vyeo,wenye kumbukumbu mtakumbuka mnanda,uzinduzi wa macamp,vigodoro,sasa khanga moko burudani zote hizi zimepigwa marufuku,sasa mm nauliza hawa jamaa wanataka tuishi vipi!!hatuwez kwenda club kila wiki maana uwezo hatuna,kwann wasiwaweke police watulinde wakati tunaburudika kwa raha zetu-,ni hayo 2
 
Sasa jamaa aliepiga inaonekana niayaake apige uchi kabisa sio Huko Dah ubinadamu huoooo
 
Back
Top Bottom