Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Safi sana maana hao ni zaidi ya maadili mabovu. Hawana haya wala hawajui vibaya, angewatandika wote risasi za makalio halafu warudi tena kuyaonesha vizuri.

Hawa ndio wanafanya wanawake tudharauliwe. Siwaonei huruma hata kidogo na nampa heko huyo aliejitolea kuwatandika risasi za makalio.
 
Mbona masela,mashalo,mabishoo na Vijana wengi wanavaa pensi na suruali chini ya Makalio(milegezo) lakini hamsemi Kama ni kwenda kinyume na maadili ?
 
Kama Milegezo imekuwa Ruksa mpaka Makonda kwenye dala dala wanavaa Milegezo na kuacha Makalio wazi Hakuna wa kuhoji ,waacheni kanga moko wafanye Yao hapa Tz uhuru wa Kuvaa haufanani na kokote Duniani.
 
Kaa ukijua Tz kila kitu kinawezekana ikiwemo Uvaaji wa kizushi zushi hadi Wabunge ni Waoga juu ya Hili janga, kule Uganda Mseveni kaona mbali hata Kenya wapo makini juu ya Mavazi , tatizo lipo Tanzania pekee hata wenye dhamana ya kukemea nao wanawaogopa wavaa miligezo.
 
Afadhali yaani siwapendi kama nini

Ukifagilia kumaliza tofauti zetu kwa risasi, leo tutaanzia huko kwa kanga moko, kesho tutafikia tofauti ambayo wewe utakuwa nayo.

Mtu akikutwanga risasi napo useme "afadhali".
 
Mbona masela,mashalo,mabishoo na Vijana wengi wanavaa pensi na suruali chini ya Makalio(milegezo) lakini hamsemi Kama ni kwenda kinyume na maadili ?

Tunasema sana tu, labda hutusikii. Nyumbani kwangu ukija na suruali mregezo huingii ndani, utaishia getini.
 
See thiz
 
Attachments

  • 1403135746263.jpg
    1403135746263.jpg
    35.8 KB · Views: 389
Inasemekana kuwa wale wana Dada wa kundi la Kanga Moko wamepigwa Risasi muda huu.... Walipokuwa wakicheza matarumbeta kwenye harusi. Mmoja kapigwa Risasi ya makalio, Mwingine ya paja. Wamekimbizwa hospital ya mwananyamala kupata matibabu.

See this
 
Back
Top Bottom