Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Inasemekana kuwa wale wana Dada wa kundi la Kanga Moko wamepigwa Risasi muda huu.... Walipokuwa wakicheza matarumbeta kwenye harusi. Mmoja kapigwa Risasi ya makalio, Mwingine ya paja. Wamekimbizwa hospital ya mwananyamala kupata matibabu.

Upigwe risasi kwenye makalio halafu ukalie wheelchair? Masihara haya!
 
Spain wanacheza kiduku au?ooppp kwakweli tuwachangieni kupata matibabu
 
attachment.php

Hawa polisi wetu sijui wakoje kulikuwa kweli na ulazima wa kuwapiga risasi hao warembo?
 
Back
Top Bottom