Tukio limetokea na wapo mwananyamala Hospital muda huu.
Watu wanafatilia nimeona pia kuna mtangazaji ameshapost.
Nenda YouTube uone wanavyokalia chupa ya bila uchi,na inazama.
Wameshindwa hata kufunga karanga,kuuza mama lishe.mpaka wacheze uchi?Hongera sana wewe kwa kuwa ulipata nafasi ya kuwa vizuri ki uchumi, ujui hawa kwanini wanajiuza
Wanaleta ladha kwetuAfadhali yaani siwapendi kama nini
Nani aliyewapiga risasi, ilikuwaje mpaka akafikia uamuzi huo na kachukuliwa hatua zipi mpaka sasa?
acha tu maana ---- halitacheza tena..
kule ununio walikuwa wanacheza uchi kabisa!
Hospital hapo