Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

Inasemekana kuwa wale wana Dada wa kundi la Kanga Moko wamepigwa Risasi muda huu.... Walipokuwa wakicheza matarumbeta kwenye harusi. Mmoja kapigwa Risasi ya makalio, Mwingine ya paja. Wamekimbizwa hospital ya mwananyamala kupata matibabu.

Julisheni ikulu. Msaada upatikane haraka
 
Aliye wapiga risasi mjinga sana. Angewapiga risasi mafisadi ingekuwa powa sana. Sasa hawa maskini wasio juwa kesho kutwa watakula nini kuwapa ulemavu ni upimbi tu.
 
Back
Top Bottom