Bi. Senti 50
JF-Expert Member
- Apr 17, 2007
- 287
- 14
Madilu-Nilimuomba Bi senti 50 aongee na mheshimiwa mwenzake Zitto nipate ruksa ili nitaje wajihi wa mama zito, lakini hadi sasa BI 50 amekwepa kunipa jibu la ombi langu.ningepata ruksa hiyo ningeweka wajihi wake,ungepata picha kwanini baba yake alikimbia ujauzito wa Zito. angekuwa anamjua baba yake asingetumia jina la BI Kabwe kama surname yake.
Mzee Mswahili,
Mukulu weka vitu mwanangu, lete vitu vya goba na Pugu ninakuamini mjomba, lete vitu mwanangu!
Mzee Masatu,
"Ukweli, Uwazi, na Amani" duh! I like it, sounds good na very clear, tatizo ni lile lile la CCM, na sisi Waa-Afrika wote kwa ujumla nalo ni matendo!
chadema wao wanasema ukweli uwazi na amni = (uua) mauaji hayo
CCM wao wanasema ARI NGUVU na KASI mpya = (anguka) mwaka huu shughuli huku ua huku anguka kule CUF mapanga shwaaaaaaaaa shwaaaaaaaaa
tanzania kulikoni??????????
TanzaniaNjema,
Nyumbani si tunasema kutesa kwa zamu? Sasa ni zamu ya mswahili, mpe kilicho chake.
Watu wamerusha madongo weeee!! mswahili yumo tu. Kumbe mswahili alikuwa amejiandaa kwa dakika 120.
Zitto: Ngoja kwanza; kwanza sahihisho kidogo, hivi Mauritania sio ndiyo kwa kiingereza ni Mauritius au? Kama hivi ndivyo, basi sahihisho ni kwamba hii nchi ni ya pili kwa utajiri baada ya Seychelles.
Hapa Kitila unatuaibisha, tena sana. Nasikia ati ulisoma hadi chuo kikuu? Inaelekea hata ramani ya Afrika hujawahi kuiona! Aibu sana hii, hata mtoto wa shule ya msingi wa darasa la tano akiona ulichoandika hapo atakudharau sana. Hebu tafuta ramani ya Africa uangalie Mauritania (West Africa) na Mauritius (visiwa katika bahari ya Hindi), halafu ujiulize tena kama ni kweli umefika chuo kikuu, na kama maelezo uliyotoa baada ya "sahihisho" lako (la kijinga sana), je maelezo hayo bado yana mantiki yoyote? AIBU!