Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 24
Zile za gazetini sikuwa nimezitilia uzito sana, lakini hii juzi baada ya kupigia kelele alijibu hivyo hivyo in writing hapa na kuanzia hapo ndipo nilipoanza kutofautiana na wenzangu. Tulitakiwa kumcorner kwenye jibu hilo badala ya kumtaka atamke explicitly kuwa kweli alikula mtoto; that is not possible.
Swali la Ziada: Kwa nini Serikali inakubali Taifa Starts isafiri kwa ndege ya propeller kwend kutuwakilisha Ougadougou umbali wote huo? hakuna jet?
Hapa serikali inaingiaje? Haya sio mambo ya TFF kweli? au ndiyo hivyo mkubwa ni jalala? Nafikiri ifike mahala tuweze kutofautisha kipi tuilize serikali na kipi tuelekeze kwa vyama husika!!
Pengine serikali ndiyo imejitakia yote haya kwa kujifanya yenyewe ni baba mwenye uwezo wa kufanya kila kitu!
Ungeenda kujibia Kule kwenye michezo, nimeweka link hapa kwa vile ndipo kuna wasomaji. Najua kuwa serikali imekuwa msitari wa mbele na hata Rais aliwahi kusema kuwa TFF wakiwa na shida kuhusu timu ya Taifa wasikose kumwona.
Kazi ya zitto hiyo. tumeambiwa tusilete maswala binafsi. nashangaa hadi kina kichuguu, Mkandara wanakosa huruma na kuzidi kusema kuwa kwanini Amina halaumiwi? mie Mwanaume kwenda kumsuta amina si style yangu. niliweka wazi kuwa kafanya jambo baya.fuatilia kwenye mada ya ugoni wa zitto.Hali ya Amina mbaya!
Mpakanjia atokwa machozi ukweni!
Hajaenda bungeni hadi leo!
Ripoti ya udaku.angalia blog ya michuzi.
Kazi ya zitto hiyo. tumeambiwa tusilete maswala binafsi. nashangaa hadi kina kichuguu, Mkandara wanakosa huruma na kuzidi kusema kuwa kwanini Amina halaumiwi? mie Mwanaume kwenda kumsuta amina si style yangu. niliweka wazi kuwa kafanya jambo baya.fuatilia kwenye mada ya ugoni wa zitto.
BI Sent 50 NA kundi lao wamasema ni uvushi tu.wakati mwanaharamu yuko bungeni huku nyuma kaharibu maisha ya watu. masikini Amina future yako kaharibu huyu mwanaharamu? ama kweli wa kitanda cha haramu huzaa haramu.
Tatizo lako uko one sided, kwa hiyo unaangalia habari ukiwa unafilter yale tu yaliyo upande wako huku ukitupilia mbali yale yote yasiyoenda upade wako.
The same as u...
Masatu, Let me assure you that at least I am more open minded than you. You have judged Zitto as a criminal without any supporting evidence, and you still do believe that a woman is a man's property that can be stolen. I don't look at things as naively as that, please.
Kichuguu.Mswahili,
Wee muhuni sana unapojitia una huruma! mhadaifu kumwonea huruma Chifupa hali wewe ni kiwembe. Aaaah angesema Mtazania labda ningeamini lakini wewe? heeee heee! na huyo senti 50 akukalie mbali kabisa! kwanza hii kujibu jibu anasogelea ndoana ya mvuvi!
Umesema sina huruma!....
Hapana ndugu yangu namwonea huruma sana AC pamoja na Zitto! Why? kwa sababu hawa wote wawili wamesema nani mgonvi wao na dunia ya wadanganyika haitaki kuamini. Dr. Nchimbi mbona hajatoa maelezo yake? kama yeye ndiye shuhuda wa haya maswala nadhani inabidi wananchi tuweke madai yetu mbele kuhakikisha kwamba huyu jamaa haleti majungu Bungeni!..
Dr. Nchimbi hakuwapaka Amina na Zitto peke yake kalipaka Bunge zima!..
Ebu tuangalie maneno yameanzia wapi kisha tumalizie kipande kinachosema hivi:-
Mwanasiasa huyo mchanga ameonja machungu ya kisiasa hadi kusababisha ndoa yake kuvunjika hivi karibuni. Amina anamshutumu mmoja wa vigogo ndani ya CCM kuwa ndiye amekuwa chanzo cha kuvuruga ndoa yake hadi ikavunjika.
Hata hivyo kumekuwapo na mchanganyiko wa mawazo kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake, wengine wakibainisha wazi kuwa imetokana na masuala ya kifamilia huku wengine wakidai kuvunjika kwa ndoa hiyo kumetokana na nia ya Amina kutaka kugombea moja ya viti vikubwa ndani ya CCM.
Tangu kuvunjika kwa ndoa yake Amina amekuwa haonekani kwenye majukwaa ya kisiasa na hata simu yake ya mkononi ambayo imeandikwa kwenye kitabu cha orodha ya wabunge imekuwa haipatikani.
Kwa hiyo Amina kisha sema nani mgonvi wake tunachotaka sisi ni yeye aje hadharani mpate kumuumbua, hakuna zaidi.
Link hii hapa http://www.dailynews-tsn.com/habarileo/page.php?id=2218