Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Bibi hajambo? Naona ameshepiwa, huhuhuuuuu!!
Haha.. kwani sis haujui hizo ndiyo test zangu ili nipate uhuru na mimi..

Sio kugandana kama sidiria na chuchu
 
Habari za jumapili wapendwa!

Kuna tukio lilinitokea na through that nikapata funzo kubwa tu.

Nina rafiki yangu(class mate) tulikuwa marafiki tangu shule, ila baada ya kuhitimu tukapotezana na hatukuwa na mawasiliano. Tukaja kuonana tena baada ya kama miaka 9 akiwa katika mchakato wa kuoa, urafiki ukarudi na tukawa na mawasilianao ya karibu tu. Baada ya kufunga ndoa nilianza kuweka kadistance maana mazoea sana na waume za watu sio mazuri.

Kuna kipindi alikuwa na wazo fulani kuhusu biashara na alinishirikisha tukashauriana vizuri na biashara ikafunguliwa na ikawa ikienda vyema.
Alipenda kunipa updates za hiyo biashara, na baadae akamuachia mkewe(wifi) aiendeshe then akawa na wazo lingine la project nyingine kubwa zaidi ambayo ingekwenda vizuri alikuwa na plan ya kuacha kazi ya kuajiriwa na kuiendesha mwenyewe.

Kutokana na kunishirikisha kwa karibu sana mambo yake, nikagundua mazoea yanakolea zaidi, nikaanza kumpotezea nikitambua yeye mtu mzima ataelewa tu. Alianza kulalamika sana maana mara nyingi nilikuwa sipokei call zake wala kujibu text zake, ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nisingependa hayo mawasiliano ya karibu namna hiyo. Japo kwa uchungu alinielewa ila aliomba sana nisipoteze mawasiliano nae kabisa.

Baada ya kama mwezi hivi nilipokea simu kutoka kwa mkewe akilalamika sana na kunilaumu akihisi nina mahusiano na mumewe, ilibidi nimtulize munkari then tulonge taratibu kiutu uzima.
Alilalamika kuwa kuna mambo mengi ambayo emekuta ktk mawasiliano baina yangu na mumewe ambayo yeye binafsi hayajui na hajawahi kushirikishwa. Hapo sasa ndio ikabidi niongee nae na kumuuliza vizuri kuhusu mawasiliano baina yake na mumewe, nikagundua sio supportive kwa mumewe na huwa hayaamini mawazo ya mumewe.


Sasa nilichojifunza ni kwamba mwanaume anapenda sana kusikilizwa,kuheshimiwa na kuaminiwa. Anaweza akaja na wazo lake ambalo ukiliangalia harakaharaka unaona kabisa hapa hakuna kitu, sasa sisi wanawake huwa tuna tabia ya kuwakatisha tamaa, unaweza kuguna mguno classic au kucheka kabisa kwa dharau kumuonyesha kuwa wazo lake ni la hovyo kabisa, ilihali hata wazo mbadala pia hauna.

Mpe nafasi ya kumsikiliza, then kama atakuomba ushauri mpe kama hauna bora umshauri atafute ushauri pahali sahihi, mtie moyo na umuamini kuwa anaweza, hata kama alikuwa na hofu na wazo lake kwa kumtia moyo na kumuamini itampa ari ya kulifanyia kazi vizuri zaidi.

Wakati mwingine tunaweza kuwa tunazima ndoto za akina Mengi wengi tu bila kujua kuwa kwa support yetu wangefika mbali sana. Hata akishindwa kwa mara ya kwanza mtie moyo na mwambie ajaribu tena na tena na atafanikiwa. Sio ndio unaanza na maneno kama "nilijua tu usingefika kokote"!!

Kama ulimuamini na kumchagua yeye kati ya wengi,basi hauna budi kuyaamini mawazo yake pia. Kuwa msaidizi ambae kila wakati atajivunia kuwa nae, hata akikengeuka akikumbuka mazuri yako mengi hakika atajirudi tu.
Umenena hakika tupu dadangu!!
 
Haha.. kwani sis haujui hizo ndiyo test zangu ili nipate uhuru na mimi..

Sio kugandana kama sidiria na chuchu
Wanasemaga maneno ya.........
Kwahiyo lini unarudi na zubeda lako?
 
Wanasemaga maneno ya.........
Kwahiyo lini unarudi na zubeda lako?
Haha ya mkosaji!
Zubeda lipi nani kakuambia tunarudi nyuma mbele kwa mbele kama ccm na mwaka wataisoma namba (kuna mtu kanisaida kupost hii )
 
Haha ya mkosaji!
Zubeda lipi nani kakuambia tunarudi nyuma mbele kwa mbele kama ccm na mwaka wataisoma namba (kuna mtu kanisaida kupost hii )
Huhuhuuuuu! Leo ulivyo mpole sasa, hata siamini majicho yangu, kweli haujafa haujaumbika.
 
Huhuhuuuuu! Leo ulivyo mpole sasa, hata siamini majicho yangu, kweli haujafa haujaumbika.
Hivi lkn sis kwann unapenda kumlow kaka yako! Wewe ndiye wa kunipa nguvu ati [emoji12]
 
Hivi lkn sis kwann unapenda kumlow kaka yako! Wewe ndiye wa kunipa nguvu ati [emoji12]
Akuuuu!! Ulivyokuwa unaninyoda vile!
Na ubaki hukohuko.
 
Akuuuu!! Ulivyokuwa unaninyoda vile!
Na ubaki hukohuko.
Siunajua lkn mimi ni mtu wa kazi juu ya kazi.

Mimi kaka yako nenda moshi rudi arusha nenda nairobi shuka manyara. Ova
 
Siunajua lkn mimi ni mtu wa kazi juu ya kazi.

Mimi kaka yako nenda moshi rudi arusha nenda nairobi shuka manyara. Ova
Kazi wapi! Sema mutu ya maneno!!
Na bado!
 
Mimi huwa najiamini sana na mawazo na fikra zangu.

Huwa nipo vizuri sana katika kuweka mipango na kufanya maamuzi.

Sijawahi kabisa kuhitaji msaada wa kimawazo toka kwa mwanamke.
Sometimes hormones za
Usukuma unahusiana nini na nilichokiandika?
ni hormones. Pengine unazo za kike kwa kiwango Fulani. Zile XY chromosomes si bure.
 
[emoji3][emoji3]
Utasubiri ninyoonge saana bora ukujoe ukalale na mmeo.

Pesa ipi kwan tunadaiana?
Ndio nakudai.
Kweli bibi kajua kukuvuruga, ndio umeandika vinini hivyo?
 
Sometimes hormones za

ni hormones. Pengine unazo za kike kwa kiwango Fulani. Zile XY chromosomes si bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio nakudai.
Kweli bibi kajua kukuvuruga, ndio umeandika vinini hivyo?
Unanidai kwa lipi.

Halafu sis nani anaitwa bibi ujue nimekuvumilia muda mrefu yule baby bibi kwa lip
 
Back
Top Bottom