Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Haya. UmefurahiNilikuwa nakung'ong'a.
Haya. UmefurahiNilikuwa nakung'ong'a.
Jiandae nitakugawa soonHapana.
Thanks sweetieNdio utu utima huo mpenzi, nilikumiss!!
Good luck dear.
Atakua amejuzwa na hilo jimama lakeMmasai anajulia wapi chapati?
Ulijuaje kuna wanaume wanajua kupika jungu mpaka unajiuliza angekuwa wanamke ingekuwaje kila cku angekuwa anasutwaHili ni pana maana itabidi tuitane jinsia zote.
Sio tu pana,bali pia ni ndefu. Lakini inajaa wanawake.Hili ni pana maana itabidi tuitane jinsia zote.
Anashika mpaka kiunoYaani acha kabisa! Na soon wanatupiku maana wako vizuri zaidi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] haaa haa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani umenifanya nicheke!!
Wanawake sidhani kama mnaweza ishi bila umbea.Weeeh!! Yaani maybe kwakuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa idadi, lasivyo mngetuzidi kabisaaa!!
Umbea ni umbea tu, uwe na tija au usiwe na tija. Wote tu wambea, hata huu pia ni umbea.Wanawake sidhani kama mnaweza ishi bila umbea.
Back 2009 nakumbuka nilipita sehemu flani hivi karibu na home,kulikuwa na wadada kama wanne wamekaa nje ya saluni. Nilivyopita ghafla wakakaa kimya,ila nilisogea mbele kidogo waliangua kicheko chenu kile cha kimbea.
Sikujali nikaenda zangu dukani,kurudi nawapita wakauchuna tena ,ile nakata kona tu nikaskia wameangau kicheko. Nilijiskia vibaya ila nikaondoka,mbele nikakutana na broh anaelekea nilipotoka alipofika lile eneo akawaskia wanasema " Maskini hakana hata nyama,kanakonda kisa kusoma"
Ila walistuka na kualiangalia chini walipomuona broh maana walijua atakuja niambia tu.
Wanawake wanawake tu,alaf umbea wenu hauna tija.