- Thread starter
- #21
Nashukuru mama.your lucky na huyo mwanaume wako...
Nashukuru mama.your lucky na huyo mwanaume wako...
Mawasiliano ni kitu cha msingi sana katika ndoa, lucky me i married my best friend kwahiyo mambo yetu tunashirikishana.Karibu sana bi dada. Nafurahi kusoma uzi kama hizi za kuonyesha watu waliomo kwenye ndoa na wanaishi kwa maelewano hata kwenye afya zao wanashirikiana kwa faida zao binafsi na familia husika. Ni nadra sana kukuta habari kama hizi hapa JF, ni kuponda tu mahusiano na ndoa wanaume hivi wanaume vile, wanawake hivi wanawake vile lakini kuna Watanzania chungu nzima wanafurahia mahusiano yao ndoa zao pamoja na majaribuni chungu nzima yaliyokuwepo.
Hongera yako mama, kitambi kinakera asikuambie mtu, nilikuwa nachelewa kazini kisa kuchagua nguo ya kuvaa, kila nivaayo naona haifai navua navaa nyingine, sio siri kinakera.Yaani Mungu ni mwema kitambi kimenipita kushoto, ila ningekuwa nacho ningepambana tu maana hamna namna
Mawasiliano ni kitu cha msingi sana katika ndoa, lucky me i married my best friend kwahiyo mambo yetu tunashirikishana.
Changamoto hazikosekani kama binadamu, ila kwa msaada wa Mungu tunajitahidi kuzitatua.
Hongera sana maana wanawake wengine ni shida!Kwakweli mimi sipendi kitambi kabisa, ndio maana napambana kuhakikisha sikipati.
Hahahaaaa!! Yaani ni ponda nikuponde. Kwakweli inatia moyo.Karibu sana bi dada. Nafurahi kusoma uzi kama hizi za kuonyesha watu waliomo kwenye ndoa na wanaishi kwa maelewano hata kwenye afya zao wanashirikiana kwa faida zao binafsi na familia husika. Ni nadra sana kukuta habari kama hizi hapa JF, ni kuponda tu mahusiano na ndoa wanaume hivi wanaume vile, wanawake hivi wanawake vile lakini kuna Watanzania chungu nzima wanafurahia mahusiano yao ndoa zao pamoja na majaribuni chungu nzima yaliyokuwepo.
Hongera yako mama, kitambi kinakera asikuambie mtu, nilikuwa nachelewa kazini kisa kuchagua nguo ya kuvaa, kila nivaayo naona haifai navua navaa nyingine, sio siri kinakera.
Ni kweli mkuu, alafu haya mambo bwana lazima mmoja ajifanye boya wakati mwingine ili mambo yakwende. Wote mkiwa juu mambo hayasongi.Hongereni sana. Changamoto katika mahusiano/ndoa KAMWE hazikosekani kikubwa ni mawasiliano na kukaa chini kuamua nini cha kufanya ili muweze kuendelea na mahusiano yenu ndoa yenu badala ya kununiana mume anaingilia huku na mke anaingilia kule full kununa.. Hata vikombe viwili ukiviweka pamoja lazima vitagongana sembuse binadamu.
Aisee nimekupenda bure wa dada yaani ulivyo proud na mume wako!Mawasiliano ni kitu cha msingi sana katika ndoa, lucky me i married my best friend kwahiyo mambo yetu tunashirikishana.
Changamoto hazikosekani kama binadamu, ila kwa msaada wa Mungu tunajitahidi kuzitatua.
Kwakweli ukikiendekeza kitambi hakina utani lazima kikuumbue.Hongera sana maana wanawake wengine ni shida!
Mtu hata hajajifungua mtoto hata mmoja ila tumbo hilo duuu!
Shukrani mpendwa, inahitaji kujitoa sana na inawezekana.Kwakweli hongera yako, mazoezi na diet ni wito.
Heaven Sent dota njoo upate somo japo wewe najua unafukia ila una bahati.
Nilimchagua awe mume wangu kati ya wooote niliowaona sasa kwanini nisiwe proud nae!! Nampenda,namthamini na kumheshimu sana mume wangu. Sikukosea kumchagua, namuomba Mungu azidi kutupigania.Aisee nimekupenda bure wa dada yaani ulivyo proud na mume wako!
Sio hawa wanawake wengine pasua kichwa hadi basi!
anyway mungu anifanyie wepesi muda ukifika
Hongera sana
Shukrani mpendwa, inahitaji kujitoa sana na inawezekana.
Hivi Heaven Sent ana mama wangapi? Maana mie namfahamu @atoto
Shukrani mpendwa, inahitaji kujitoa sana na inawezekana.
Hivi Heaven Sent ana mama wangapi? Maana mie namfahamu @atoto
Hahahaaaaa!! Mbona mama mdogo.Lol! Huyo mwingine ni mama yake mdogo. 🙂🙂
Nilimchagua awe mume wangu kati ya wooote niliowaona sasa kwanini nisiwe proud nae!! Nampenda,namthamini na kumheshimu sana mume wangu. Sikukosea kumchagua, namuomba Mungu azidi kutupigania.
Nashukuru mkuu, pia namshukuru Mungu na mama yangu pia.Safi sana, ndoa ni tamu sana hasa pale mwanaume anapopata msaidizi na sio mke pekee. Wewe ni moja ya wanawake wenye hekima wanaojenga nyumba zao na kuzifanya imara zaidi