Sijui kwanini watu huwa tunakimbilia kusambaza mabaya ya ndoa tu wakati yapo mengi mazuri pia. Just emagine hata maisha na wazazi wako yana changamoto, sembuse watu mlokutana ukubwani!! Ndoa ni tamu kama mliooana mnatambua thamani ya kitu mlichokiingia. Nothing comes easly inahitajika wote mjitoe kutengeneza ndoa muitakayo. Aina ya ndoa mtakayoishi inategemeana na foundation mliyoijenga, hata wanangu nawalea ktk misingi imara ili hata wakikutana na dunia iliyovurugika still wakumbuke kuwa bado kuna mazuri mengi humohumo ni wao kuchagua njia iliyo sahihi tu.Hongera sana. Huu uzi uliojaa mazuri kuhusu ndoa wengi huukimbia hutawaona humu lakini ungekuwa umekuja kuandika mabaya kuhusu ndoa saa hizi ungekuwa umeshafika page 30.
Shukrani mpendwa.Ubarikiwe mleta uzi!!!
Hamna kitu kigumu kama kuchukua hatua ya kubadilisha maisha yako... Unene ni lifestyle ndo mana wengi wanaona ni vigumu kubadilisha lifestyle iliowafanya wanenepe...
Ata kama huwezi kufanya mazoezi, basi jaribu kupunguza wingi wa chakula utaona mwili utakavopukutika!
Shukrani mkuu.Mazeozi na ulaji unaofaa ni afya nzuri ya mwili na akili. Hongera kwa kutoa jambo positive kwa wana-jf.
Sijui kwanini watu huwa tunakimbilia kusambaza mabaya ya ndoa tu wakati yapo mengi mazuri pia. Just emagine hata maisha na wazazi wako yana changamoto, sembuse watu mlokutana ukubwani!! Ndoa ni tamu kama mliooana mnatambua thamani ya kitu mlichokiingia. Nothing comes easly inahitajika wote mjitoe kutengeneza ndoa muitakayo. Aina ya ndoa mtakayoishi inategemeana na foundation mliyoijenga, hata wanangu nawalea ktk misingi imara ili hata wakikutana na dunia iliyovurugika still wakumbuke kuwa bado kuna mazuri mengi humohumo ni wao kuchagua njia iliyo sahihi tu.
Shukrani.Hongera sana kwa kujitambua Mkuu.
Kweli!!! Chakula ndo mpango mzima. Mi nashauri mtu anaetaka kupunguza mwili afuate yafuatayo...Shukrani mpendwa.
Kwakweli wengi ni chakula ndio kinawaponza, mtu anakula kama vile kesho hali na ukizingatia kazi afanyayo sio ya kutumia nguvu, hapo obesity lazima ikuhusu.
Inatia moyo na hamasa pale mnaposhirikiana.Nimependa ushirikiano kati yako na mumeo... Safi sana
Mchango mzuri, na ukijizoesha inakuwa kawaida kabisa.Kweli!!! Chakula ndo mpango mzima. Mi nashauri mtu anaetaka kupunguza mwili afuate yafuatayo...
1. Acha kula wanga mweupe... Wali mweupe, ugali wa sembe, ngano nyeupe.
2. Acha unywaji wa soda na vilevi... Tumia juice tena nzuri utengeneze mwenyewe. Punguza utumiaji wa sukari pia. Sijui biskutiz ice cream, cookies zote acha.
3. Punguza size ya chakula. Yaani usile ukashiba.
4. Ukiamka asubuhi kunywa lita mbili ya maji ya kawaida kabla ya kupiga mswaki... Ukitaka uondoe kabisa kitambi, kunywa lita moja ya maji ya uvuguvugu.
5. Ushughulishe mwili!!! Usijibweteke sehemu moja. Kama unaweza fanya mazoezi... Haijalishi ugumu wa zoezi bali hakikisha umefanya kwa dakika 45... Zinatosha saana. Unaweza ata ukatembea kwa dakika hizo na kuongeza spidi kadri siku zinavyoenda.
Ninavyopenda kula, yaan mtu akiniambia mambo ya diet sielewi hata kidogo. Nikiwa na mahipsi ya tumbo ntavaa madela tu
Hongera sana mama, hiyo ni bahati.Katika mwili nachukia sana kuwa na tumbo kubwa..
Diet na mazoezi sijawahi kuweza sijui kwanini, ila nina bahati vitambi huwa naviona tu kwa watu
![]()
![]()
![]()
Ashasema atavaa madera.
Ist relevant mkuu?Chura ipo lkn baada ya diet?!
Ist relevant mkuu?