Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Mwenzenu anachopambania hapa ni utoto sana, eti sababu kunamtu aliunda uzi kuwa tz hakuna wife material, sasa naye kaamua kuilipa ile thread kwa kuwatukana wanaume wote..


Anachotaka ni sapoti yenu.. [emoji74] [emoji74] [emoji74] mwambie na Shunie mwanamama anataka sapoti ya ke wote mliopo jf
Eh kwani hadi mtuandike sisi tunakasoro gani nyie ndio muwe na muda wakutudharau hata mimi ninayo aisee tena hiyo thread imenichafua hadi nimetapikwa sana.
Eti hakuna wife material hapa TZ kama wengine wanajishaua wasichukiwe mimi sipendagi unafiki mi nachana nanitaandika magazeti maana ndio kazi yangu nimesomea uandishi waa habari NEWS WRITING SO mniache kama nilivyo sijaliwa na mtu yeyotw humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Such a wonderful lady.... Safi.


Na wewe Katoto kazuri ona jamii ya wanawake wenye akili imekutenga..

Umebaki wewe dunga la embe unahangaika.

Kwanza roho inanisuta sana hu deserve kujtwa "katoto kazuri" hata kidogo.
Hamna kitu ka hicho asubiri wenye mawazo na mtazamo kwa wanaume ka yake waje wawe upande wake.

Sababu kama mie huyo mwanaume wa Kitanzania kwangu ana thamani kubwa zaidi ya dhahabu.
 
Mapungufu yapo ila sio uoelewe nashoga ambaye anakazwa kwa hiyo mnakazwa wote anatext dear wake anakuja kucheza cha 3 play sasa mume tigo mama k halafu tunalipwa hayo sio mapungufu hiyo ni dhambi ambayo haisameeki kirahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaolewa na shoga pole sana na umekubali vipi uolewe na shoga

Usinichoshe tusichoshane
 
Such a wonderful lady.... Safi.


Na wewe Katoto kazuri ona jamii ya wanawake wenye akili imekutenga..

Umebaki wewe dunga la embe unahangaika.

Kwanza roho inanisuta sana hu deserve kujtwa "katoto kazuri" hata kidogo.
Ujue bwana hivi vitu saa nyingine yatupasa tuwe wakweli tu maana kama huyo anayewadiss hao wanaume wa Tz mwisho wa siku ataolewa hapa hapa Tanzania na sio Kenya wala Uganda.

Hivyo yampasa abadili huo Mtazamo wake tu kwa kweli kwa kujua wanaume wenye tabia mbovu wapo na wenye tabia nzuri pia wapo.

katoto kazuri.
 
Mwenzenu anachopambania hapa ni utoto sana, eti sababu kunamtu aliunda uzi kuwa tz hakuna wife material, sasa naye kaamua kuilipa ile thread kwa kuwatukana wanaume wote..


Anachotaka ni sapoti yenu.. [emoji74] [emoji74] [emoji74] mwambie na Shunie mwanamama anataka sapoti ya ke wote mliopo jf
Ukishindana na mwanaume utamuweza wapi kitu kama kizuri tutasapoti

Yy amekutana na wanaume wote tz mpaka aseme wapo hivyo
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijekuwa unamtusi baba mzazi, mjomba au kaka zako, maana nao ni wanaume wa Tanzania! Au una maana wale wanaume uliokwisha tembea nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom