Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Usijekuwa unamtusi baba mzazi, mjomba au kaka zako, maana nao ni wanaume wa Tanzania! Au una maana wale wanaume uliokwisha tembea nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu ni moja wanawake wako upande wenu hata mkiwatusi wao wanachekelea tu na hata ushauri zenu hamzitoi kwa maneno machafu na wajomba kwa kawaida sinaga napia hata baba sinaga na hao walio oa tayari hawako kwenye hii list .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anataka tusapoti tu hata ujinga ujinga sababu mwanamke mwenzetu hapana kwakweli
Umeonaeee. Hizo tabia hatukatai zipo ila sio kwa Me wote kama anavyotaka kutuaminisha.

Wenye kuona Katoto yupo sahihi ataungana nao wawachambe hao wanaume. 😅😅😅😅😅
 
Huyu kujitengenezea kakisiwa kake mwenyewe huko Arusha, mji mkuu wa kitalii watu wengi kutoka nje wapo Arusha, mambo yote ya LGTH (lesbian Gays Transgender Homosexual) kwahiyo lazima atakutana na haya mambo kila leo.

Tabia za ajabu nyingi zipo Arusha kutokana na mambo ya utalii.. Vijana hawafanyi kazi wanasuka rasta ili wachukuliwe na majimama ya kizungu walipwe pesa..

Yote haya hajayaona ndio maana mawazo yake hayafikirii mbali hata kuvuka urefu wa pua yake, kisa kakisiwa alichojitengenezea huko Arusha..

Nitaitisha kikao cha dharura na wanaume wenzangu ambao hatuko Arusha, tujadili jinsi ya kumpa ofa ya mialiko mbalimbali atembelee tulipo..

Pengine hii sonona na msongo alio nao utapungua..

MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji110]
Ukishindana na mwanaume utamuweza wapi kitu kama kizuri tutasapoti

Yy amekutana na wanaume wote tz mpaka aseme wapo hivyo
 
Ebu shangaa jamani ndio yale ya lemutuz insta usipomsapoti alichokiandika unakula block
Sihitaji support nilizaliwa mwenyewe nanitakufa mwenyewe sinaga unafiki naasilimia kubwa sijali comment mbaya za mtu na mimi sio lemutuz mimi ni msichana ninayejitambua.
Na kwawale ambao hawajaolewa kama unaona nisawa kuonekana kimada ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu ni moja wanawake wako upande wenu hata mkiwatusi wao wanachekelea tu na hata ushauri zenu hamzitoi kwa maneno machafu na wajomba kwa kawaida sinaga napia hata baba sinaga na hao walio oa tayari hawako kwenye hii list .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huo utafiti ufanya kwa nani, kwa sababu majumuhisho yako yanaonekana siyo ya kuaambiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeonaeee. Hizo tabia hatukatai zipo ila sio kwa Me wote kama anavyotaka kutuaminisha.

Wenye kuona Katoto yupo sahihi ataungana nao wawachambe hao wanaume. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua maisha sio kupigana nikueleweshana .
Ili mjue wanaume muwajue walivyo wasasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww wako n wa wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sihitaji support nilizaliwa mwenyewe nanitakufa mwenyewe sinaga unafiki naasilimia kubwa sijali comment mbaya za mtu na mimi sio lemutuz mimi ni msichana ninayejitambua.
Na kwawale ambao hawajaolewa kama unaona nisawa kuonekana kimada ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaomba unisupport kabisa wala siitaji support ya mtu yeyote.
Nawala sipendagi kupigwa tafu.
Nimezaliwa mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwambia usinichoshe tusichoshane sitajibu tena magazeti yako ukiniquote bye
 
Back
Top Bottom