Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo baba yako yuko namba ngapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekosa chakusema wanafukuzia wazazi shubamit nyie kazi kufumuliwa muwache wa dada wawatu nyie kama mmeshafumuliwa sio muingilie mpaka wazazi wamtu hatutawaacha salama mpaka mubadilike paka boxi nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hasira nyingi maana mapunga wana wivu haswa, huwa wanaona kila mwanamke adui yao.
 
Baba yangu mimi alikuwa mtu wazamani na alikuwa hana shida ndio maana nikazaliwa sasa nyie mmendekeza upuuzi ndio maana mnafumulia kama nini yaani stlye yakuchuma mchicha wanawake wanachuma na nyie mnachuma [emoji41][emoji41][emoji41] aibu unakuta umeoa ila unaliwa kama jirani yetu alisema kuwa mume wake amekuja toka kazini ila cha kushangaza kuivua boxer ili akaoge mama muhusika akafa kwasababu alikuta kwenye boxer nyuma hata sio mbele sasa mbegu kibao kibao za mwanaume sasa mnalizunguziaje hili hata humu kuna hiyo tabia imejitokeleza ndio maana hata wanawake wengine wamesema kuwa unalala na mume wako ila hakugusi au boyfriend wako ila hakugusi kumbe kafumuliwa hana hata hamu.
Wengine jogoo haliwiki mke anasubiri haki yake hakuna [emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani umekutana na mwanaume wako hakusugui vizuri ndio ume conclude kuwa wote wako hivyo ha ha ha ha ha yani uko mbwinde huko unazani tanzania yote iko hivyo tembea uone
 
Wanawake wanapata tabu sana kufikiria ipo siku wanaume watakuwa na akili kama zao.
Mwanaume ameumbwa kumshughulikia mwanamke kwa namna zote, yaani matumizi, malezi na kwenye mapenzi mwanaume atamfanya mwanamke kile anachoona kinafaa kwa wakati huo.
Wewe kama mwanamke unatakiwa kufahamu kuwa kuna tofauti kati ya mwanaume na mtu mwenye uume, hata nyinyi wanawake mpo wenye uume, sasa sio kila mwenye uume ni mwanaume. Kama umekutana na jamaa anapigwa na wenzake usimuite mwanaume.
Kwa wanaume rijal mkae vikao mjue tu mke mmoja hatawatosha labda muumbe wanaume wenu maabara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana yeye ndio siku zote namkunyua na hii harufu ya mavi unayo sikia ni yake baba yako mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu za kufukunyua utoe wapi punga weweeee, ona ulivyolegea hadi mwandiko.
Unatembea unakata viuno tu mjaa laana wewe.

Ila shoga nawe una mazito kutafuta laana tu, kwahiyo ukaona wanawake tunafaidiii ukaamua nawe uwe mwenzetu?
Jikaze tu maana ndio upande uliochagua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katoto kazuri hebu nitafsirie hiki kizungu kwanza.
Eti wamenukuu kuwa sisi tumewanyima watu masoko yao tena tukiendelea kuwasema.
Nikawajibu sisi hatutaki wanaume humu na hata kama baadhi yetu wakiwataka ni watu na heshima zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kuwa mapunga adui zao ni kila mwanamke? Hivyo hizo hasira ni za kawaida tu kwa punga yeyote.
We acha tu umeona huyo mmoja ametoa uzi kajisome uzimie anadai eti kuna mdada ambaye ni mchepuko kaambiwa na mume wa mtu eti mke wake ni hamfai .
Huyo kafiri anaitwa ray byb.
Ee dunia imekwisha ndio maana mvua hainyeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom