Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Mwanaume kua na kitambi hiyo imekaa sawa kimaumbile, lakini mwanamke kua na kitambi ni dosari kimaumbile. Yale mafuta kwa mwanamke yanatakiwa yakae kwenye hipsi na makalio ila kwa konfyusheni yanaenda tumboni kufanya kitambi kimakosa. Mwanaume yeye wese likikaa mbele ni sawa kabisaa ila sasa ikitokea konfyusheni wese linaenda kwenye makalio kimakosa.
Ni vema kutafuta wataalamu wa afya shida hii inapojitokeza lakini kabla ya yote tule chakula kiafya.
Hapana kitambi sio kizuri kwa wote
 
Personality ile bwana, boss wangu ndo anasemaga hiyo!
Kitambi akiwa nacho mmama huwa naona wanapendeza hasa akiwa mrefu halafu ajazie nyuma!

Wadada bana, kitambi sio mpango! Ila sijawahi ona mdada haolewi sababu ya kitambi!
Kuolewa ni zaidi shape kuna tabia na utamu na ufundi.
 
Teh teh teh...Nilishawahi andika hapa na narudia tena...

Hao wenye vitambi ndio watamu haswa na raha kweli kuwa nao...

Ile shughuli ya kuitafuta mbunye, inayofanywa na abdalla kichwa wazi inanoga mno...

Yaani unakuta mara abdalla kagonga kitovu mara kagonga uvungu wa tumbo...halafu mwishoooni ndio anazama mahali penyewe....
 
Tatizo huwa mnaona wazungu wa kwenye TV...ishi nchi zao utawajua uzuri
Wanaume asili yetu wala haishangazi... mi hua nashangaa wanawake wa kizungu unakuta anawatoto wakubwa kabisa lkn ukimuona kama hajawahi kujifungua yupo smart kila kona labda kovu la kuongezwa njia tu ila mwanamke wa kibantu akishazaa tu basi anakua bibi
 
Asante Aisee...Mazoezi ya kutoa Kitambi yanahitaji uwe na moyo wa chuma bila hivyo unaishia njiani..

Nishajikubali mie Kitambi kitu gani bana....
Hahaha hahaha hahaha
Pole sana jamanii! Kuna mazoezi mazuri sana ya kuondoa tumbo, angalia na aina ya vyakula unavyokula
 
Sasa nyie mkiwapeleka bar cha kwanza mchemsho wa kuku na castle lite unategemea nini?

Wabadilishieni menu anzeni kuwapa...chai ya rangi na mihogo ya pilipili.
Masihara mkuu, labda demu wa kizungu mtoe out halafu mpe chai ya rangi na mihogo ya pili pili ndo atakuelewa na kuisifia lakini si wa kibongo bongo, hasa wa Tandale na manzese..[emoji25][emoji25], utajuta kwa nini huna uwezo wa kupotea kimazingaombwe..[emoji12][emoji12]
 
Wabongo wengi vitambi vyao sio vya mazoezi
Haha haha haya bana ila maeneo niliyo ishi na hapa nilipo kuna utamaduni kila J'mosi tunaamka alfajiri kwenda jogging na members pia tunakua na Bonanza kila weekend ili kuimarisha afya zetu kulinda heshima ya ndoa
 
Asante Aisee...Mazoezi ya kutoa Kitambi yanahitaji uwe na moyo wa chuma bila hivyo unaishia njiani..

Nishajikubali mie Kitambi kitu gani bana....
Hahaha hahaha
Wewe ushajikubali bana! Mimi nisipochomekea sioni utamu wa suruali ama miniskirt... Imagine uchomekee na kitambi!.
Jitahidi bana
 
Back
Top Bottom