Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,618
NdioOK sawa now u know...
NdioOK sawa now u know...
We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
kiwango kinachotakiwa na mwili ambacho ukizidi umeanza faulo,mbaya zaidi faulo nila mazoeziHapo kwenye Nyama sijakuelewa
kiwango kinachotakiwa na mwili ambacho ukizidi umeanza faulo,mbaya zaidi faulo nila mazoezi
Kuwa na kitambi ni asili ya mtu tu
Mimi hata nile vipi ama ninenepe namna gani tumbo haliji kabisaaa...na wala sio mtu wa mazoezi
Wewe kama sio mtu wa kuoa usioe ,usisingizie vitambi
Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Hapana mzee sio vitambi, ni Bell fat hiyo. Inaweza ondolewa kama atakuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara.Nawasalimu
CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..
Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.
Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
Waheshimu wanawake basi ndugu yangu. Isije ikawa hadi mama yako mzazi ukawa unamuangalia kwa mtazamo huo.Nawasalimu
CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..
Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.
Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
Mwezi ujao tunahamia kwa wenye nywele zisizorefuka.Mmehamia kwenye vitambi vyetu tena [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
😂😂😂😂😂😂😂Teh teh teh...Nilishawahi andika hapa na narudia tena...
Hao wenye vitambi ndio watamu haswa na raha kweli kuwa nao...
Ile shughuli ya kuitafuta mbunye, inayofanywa na abdalla kichwa wazi inanoga mno...
Yaani unakuta mara abdalla kagonga kitovu mara kagonga uvungu wa tumbo...halafu mwishoooni ndio anazama mahali penyewe....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji54][emoji2][emoji54][emoji54]hatariousMh mie kidume rafiki!!
Hahah Gemini kumbe una flat tummy,,,hongera sana mamaHahaha hahaha
Wewe ushajikubali bana! Mimi nisipochomekea sioni utamu wa suruali ama miniskirt... Imagine uchomekee na kitambi!.
Jitahidi bana
hahahaahWapige marufuku kilimo cha viazi mviringo
Yeah hatari kweli kweli hasa processed sugars kama za soda ndio noma ukiacha zile za beer zinazotokana na wanga.Hvi Utumiaji wa Sukari nao ni hatari kwa unene??
Wanafuturisha banaHapo hujakosea kuhusu ulaji wa mwezi mtukufu
Watu wanashindana kupika badala ya kushikamana na ibada zaidi
. Kila mmoja anaonyesha mapishi na mwisho wa siku anamwaga
Halafu anasubiri apate thawabu
Wengi wanatwanga maji tu
Na kunenepa
Unakuwaje na kitambi?
Yeah hatari kweli kweli hasa processed sugars kama za soda ndio noma ukiacha zile za beer zinazotokana na wanga.
Ndio maana wanaokula beer na nyamachoma wanapata vitambi sana.
Hata mie changu kilianza kuja baada ya kujibidiisha kugida serengeti lite na nyamachoma. Asubuhi naamkia supu ila sasa nimejitahidi kujiondoa kwenye ratiba hio mambo sio mabaya. Futa linakatika taratibu na usiku sili sana nakula mboga nyingi chakula kidogo.