Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Alafu hawavipendi kabisa vitambi hata kidogo. Na wanateseka kuviondoa.

Nilikuwa namsikitikia demu wangu mmoja hivi; alikuwa anashinda amevaa limkanda asubuhi hadi jioni. Analivua jioni akija geto hadi namhurumia.

Nilimuuliza; unatumia mkanda wa kuondoa kitambi lakini haufanyi mazoezi na bado unatumia chips yai kama kawa!
Nawasalimu

CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..

Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.

Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
 
Kuwa na kitambi ni asili ya mtu tu

Mimi hata nile vipi ama ninenepe namna gani tumbo haliji kabisaaa...na wala sio mtu wa mazoezi

Wewe kama sio mtu wa kuoa usioe ,usisingizie vitambi
inategemea umbo lako pear shape or apple shape.
-wenye pear shape fat deposit ni chini ya kiuno
-wenye apple shape fat deposit iko juu ya kiuno
 
Sasa na nyie vitambi vyenu kama vibuyu mchongoko tuwaseme? Maana kazi yenu kuhemea juu juu kama mnataka kukata roho.. hebu tuacheni na vitambi vyetu.
 
Mwanaume kua na kitambi hiyo imekaa sawa kimaumbile, lakini mwanamke kua na kitambi ni dosari kimaumbile. Yale mafuta kwa mwanamke yanatakiwa yakae kwenye hipsi na makalio ila kwa konfyusheni yanaenda tumboni kufanya kitambi kimakosa. Mwanaume yeye wese likikaa mbele ni sawa kabisaa ila sasa ikitokea konfyusheni wese linaenda kwenye makalio kimakosa.
Ni vema kutafuta wataalamu wa afya shida hii inapojitokeza lakini kabla ya yote tule chakula kiafya.
Wala haijakaa sawa usijipe moyo bure hapa
Kwanza ukivaa nguo hupendezi
Unahema juuu juu, unachoka haraka
Hata kitandani ni shida tupu. So usijipe moyo kata wese poromosha kitambi hicho
 
Back
Top Bottom