ninacho kimejaa tele 😂😂😂 kafatw wenye flat tummy mbona wamejaa tele, au can’t afford them 😅wengi wenu mnavitambi usikute hata wewe apo unalikitambi kheee fanyeni mazoezi hatuna ela za kuchezea et surgery
Inasikitisha sana😔Ni huzuni sana na wakija mitandaoni wanajidai kuona kero vitambi vya wanawake ila vya kwao haviwahusu.
Usisahau vijiti na sindano vinaharibu mwiliMwanamke kuwa na likitambi ni ugonjwa fanyeni mazoezi
Siku hizi wanawake (hasa majuu) wanasema kuonea aibu maumbile ya aina fulani ni ujinga. Kuna wengi tu kwenye social media wanajiachia. unakuta ''tumbo la kwanza'' dogo limening'iza ''tumbo la pili'' kubwa zaidi na chini kuna ''tumbo la tatu'' limening'inia mpaka kwenye mapaja.Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu.
Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu.
Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
Hahahaaa. Lol.sasa wote tukiwa na vitambi itakuwaje 😜😜?Kwa kweli inabidi ukitoe tu
Una mdomo sana😅Afu unakuta eti mnadeka kama sio ujinga ni nini mtu unalikitambi afu unajibibesha kama zezeta tu , toa likitambi uwe portable kheee
Una uhakika binti?Kitambi kina raha yake .. kukipapasa, hadi unahisi upo pepono ☺️☺️
Kwa uongo tu hujambo msichana!😤😅😅 Kitambi cha ke ni mafuta ya unono yale yaliyogona kwenda kwenye matako na hips, yakiwa kwenye kitumbo inakuwa kama sumaku, Hujawai gundu ukiwa washika washika tumbo ? Na pili inakuwa sumaku ya kuuvuta mkuyenge ndani kwenye umbile lao . Nimekusanua leo
Afadhali tumepata wa kutufarijiWoote wenye vitambi nipeni mimi,
MSIWANYANYASE.
Wananikera hawa watoto wasio na mia mbovu🤦🏽♀️ Masharti kibao kejeli za hovyo na ukienda na vyote wanavyovitaka wao hawana cha maana zaidi ya upuuzi tu!Kama kuna kuzaliwa tena sitaki kuja ku cross pass na wanaume masikini mimi,wana masharti 100 pesa hawana.
Unadhani kucontrol mwili after 30 mchezo? Mpe mwanamke wako lishe sahihi mazoezi, usimstress na bila kusahau huduma za afya za uhakika, maana mvurugiko wa hormones nao unaleta vitambi.
Ukishindwa kabisa mpeleke turkey akafanye surgery sio kubweka bweka kama mbweha!
Mkiona wanaume wana standards ambazo hamna ndio mnaleta habari za morality. Hapo ingeanzishwa post ya kuwakandia wanaume wasiokua na hela ungeishikia bango kama vile baba na kaka zako ni matajiriHizi kauli zingine msiwe mnatoa mada halafu mkawa mnatoa lugha za ovyo wewe ni mwanaume umezaliwa nahuyo mwanamke je huyo Hana kitambi?
Umeoa mwanamke hakua na hicho kitambi umemzalisha akapata kitambi bado mnakuja kutoa maneno ya dhihaka
Wanaume kama unatoa mada inayomdhihaki mwanamke kumbuka huyo mwanamke ndiye aliyekuzaa
Tuache na matumbo yetu kama ngano ilokandwa👌🏽Eeeh mnakera na matumbo yenu
Ni kweli kumdhihaki kiumbe mwenzako hasa kwa maumbile yake sio uungwana,Hizi kauli zingine msiwe mnatoa mada halafu mkawa mnatoa lugha za ovyo wewe ni mwanaume umezaliwa nahuyo mwanamke je huyo Hana kitambi?
Umeoa mwanamke hakua na hicho kitambi umemzalisha akapata kitambi bado mnakuja kutoa maneno ya dhihaka
Sio kumdhihaki Mwanamke tu,hata kumdhihaki Mwanaume pia haifai,Wanaume kama unatoa mada inayomdhihaki mwanamke kumbuka huyo mwanamke ndiye aliyekuzaa
Kuwa na standards sio kosa. Wanawake mna taste yenu ya wanaume mnaovutiwa nao, hakuna kosa lolote ikiwa hivyo kwa mwanaume pia kuwa na standardsAtakuwa kijana tu mvulana huyu
Akkli za mwaafrika bn basi tu, watu wakitetea haki za kibinadamu mnasema wanataka uranium yetu. Wafanye mazoezi ivi utakisikiaje mkeo analikitambi kuliko wewe , who is a boss??Ni kweli kumdhihaki kiumbe mwenzako hasa kwa maumbile yake sio uungwana,
Sio kumdhihaki Mwanamke tu,hata kumdhihaki Mwanaume pia haifai,
So, unapopinga jambo hili unatakiwa ulipinge kwa jinsia zote,hii ni issue ya ubinadamu na sio issue ya gender.
Hamjakatazwa na huwa ni kawaida yenu mnafanya watu wasijikubali kwa sababu ya kuwafurahisha nyinyi tu ila ku-generalize kundi fulani mnakwama sana!Kuwa na standards sio kosa. Wanawake mna taste yenu ya wanaume mnaovutiwa nao, hakuna kosa lolote ikiwa hivyo kwa mwanaume pia kuwa na standards