Wanawake wenye vitambi mnakera, fanyeni mazoezi

Wanawake wenye vitambi mnakera, fanyeni mazoezi

Spring hizo nazipenda .Umenikumbusha Suzy Bale ukimuita jina lake anajibu storm is over.Basi namimi nikulipa tu kwa simu mpaka naambiwa salio lako halitoshelezi ndio naenda kulala.
 
Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu.

Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu.

Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
Lakini Lamomy wangu anajitahidi, tumbo flat
 
Hizi kauli zingine msiwe mnatoa mada halafu mkawa mnatoa lugha za ovyo wewe ni mwanaume umezaliwa nahuyo mwanamke je huyo Hana kitambi?
Umeoa mwanamke hakua na hicho kitambi umemzalisha akapata kitambi bado mnakuja kutoa maneno ya dhihaka

Wanaume kama unatoa mada inayomdhihaki mwanamke kumbuka huyo mwanamke ndiye aliyekuzaa
 
Mwanaume hawezi kuongea hivi usijichoshe la mama
 
Back
Top Bottom