Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,033
- 103,492
Na kumbuka wakiwa na vitambi tayari mzigo haukamatiki tenaNa nyie wanaume wengi wenu mna vitambi fanyeni mazoezi sio kulalamikia tu wanawake.
Na kumbuka wakiwa na vitambi tayari mzigo haukamatiki tenaNa nyie wanaume wengi wenu mna vitambi fanyeni mazoezi sio kulalamikia tu wanawake.
Amesema kitambi na sio size ya mwili. Unaweza kuwa na mwanamke ana nyama za kutosha ila hana kitambi.Utakuwaje na kimwanamke chembamba kama spoke! Unakuta kimwanamke kimekondeana kama hakili! Shenzi kabisa! Mtakuja kuchomwa mifupa bure
Ni huzuni sana na wakija mitandaoni wanajidai kuona kero vitambi vya wanawake ila vya kwao haviwahusu.Na kumbuka wakiwa na vitambi tayari mzigo haukamatiki tena
kwa kweli watuache na vitambi vyetu😀Na nyie wanaume wengi wenu mna vitambi fanyeni mazoezi sio kulalamikia tu wanawake.
Kabisaa. Na vile havituwashi, havituumi watuachage tu kwa kweli. 😂😂kwa kweli watuache na vitambi vyetu😀
😀😀😀😀sio shida zetuKabisaa. Na vile havituwashi, havituumi watuachage tu kwa kweli. 😂😂
Atakuja na Come back 🤣🤣 mgerasi huyo 🤣🤣🤣 ngoja amalize kuosha wazeeHe is insane de Scumbabag
Kabeeesaaa. 😂😀😀😀😀sio shida zetu
Afu unakuta eti mnadeka kama sio ujinga ni nini mtu unalikitambi afu unajibibesha kama zezeta tu , toa likitambi uwe portable kheeeAmesema kitambi na sio size ya mwili. Unaweza kuwa na mwanamke ana nyama za kutosha ila hana kitambi.
sasa kwani kinadeka kitambi? au tunavyodeka na kitambi kinatikisikaAfu unakuta eti mnadeka kama sio ujinga ni nini mtu unalikitambi afu unajibibesha kama zezeta tu , toa likitambi uwe portable kheee
Kitambi kina raha yake .. kukipapasa, hadi unahisi upo pepono ☺️☺️Atakuwa kijana tu mvulana huyu
sasa wote tukiwa na vitambi itakuwaje 😜😜?Kwa kweli inabidi ukitoe tuKipenzi Changu hivyo mi na hiki kitambi changu itakuwaje sa? 🤪
😅😅 Kitambi cha ke ni mafuta ya unono yale yaliyogona kwenda kwenye matako na hips, yakiwa kwenye kitumbo inakuwa kama sumaku, Hujawai gundu ukiwa washika washika tumbo ? Na pili inakuwa sumaku ya kuuvuta mkuyenge ndani kwenye umbile lao . Nimekusanua leoMtaanza kutafuta ela na nyie sasa hawezekani uwe na kitambi afu mimi sina , unajikuta boss 😂
wengi wenu mnavitambi usikute hata wewe apo unalikitambi kheee fanyeni mazoezi hatuna ela za kuchezea et surgeryKama kuna kuzaliwa tena sitaki kuja ku cross pass na wanaume masikini mimi,wana masharti 100 pesa hawana.
Unadhani kucontrol mwili after 30 mchezo? Mpe mwanamke wako lishe sahihi mazoezi, usimstress na bila kusahau huduma za afya za uhakika, maana mvurugiko wa hormones nao unaleta vitambi.
Ukishindwa kabisa mpeleke turkey akafanye surgery sio kubweka bweka kama mbweha!