tangazo lako liko well advertised.tumelisomaBujibuji & who cares mmenena. Ninazo za kujificha mbele ya kidevu... kiukweli nipo fit kimaendeleo, Nina MTT mmoja Nina kazi safi, nyumba na gari Vila kusahau cheo according to proffesion... wanaume hawaniwezi nkisema nimesema...kuniacha hawawezi mpaka nitake. Mmh
sticky with ur man then! mpe mipango kabambe,
mtatoka sana!!
mmmh,,,,, kweli hapo lazima tuwindwe!!!!!!!!!!!
Hehee...sina jibukwani hunogi? au unajionaje
mmm nimeogopa ndo maana watu huwa wananinyemelea ee kumbe ni hivi vijindevu kaz kwelikweli
imekula kwao
hahahaaa.....! Tena imekula kwao mazima,,,,,,, maana kuna wengine watataka kufanya majalibio LOL!!!!!!!
hakuna majaribio hapa thankx to ma hubby kwa kuleta hii mada amenifungua macho
Wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumilivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.
Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu,
Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha..
Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili...
Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?
Afu si wengi wenye nazo!