Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Mkuu position Hii nimeikubal This is a good mole, as it suggests plenty to
eat and drink throughout your life. This mole
also brings fame and recognition. i
 
Wengine huwa wanajichora hako ka doti. Mwangalie Diva, mara kushoto, mara kukia, mara juu sana mara chini.
 
Wengine wanavutiwa na ndonyaaaaa.....teh teh Kaizer

hehehe ndonya ndo iko kama ile ya wamakonde ama?
Makonde_woman.jpg
Z
 
Huo ni mtazamo wako, sisi wengine vitu hivyo havishtui hata kinyweleo.
 
ehehehhehehhe yalianza mahips zikaa ndevu sasa mwanya!
uuuuwih!
kote huko nakoswa koswa !
hakyamama imekula kwangu!cha
hahaha....yani hapa nasubilia uzi wa wanawake wenye matege.....mweeeeeh.....
 
mmmmmmmmmmmhhhhhhhh ndugu yangu monaco kuna connection gani kati ya vidoti,mwanya na wanaume smart?
 
Last edited by a moderator:
We utafanya watu wakong'oe meno na kuchoma ndonya bure ili wawe na mwanya na kidoti cheusi
 
Heee, kama wenye vidoti wote wanafanana na aliyekua anahojiwa na salama "mikasi" siku flani, basi hawawezi mvutia mwanaume yeyote smart.
 
Back
Top Bottom