Mwanya unaouzungumzia hapa ni wa size ngapi...maana kuna watu wana mapengo ila wanaita mwanya...
ehehehhehehhe yalianza mahips zikaa ndevu sasa mwanya!
uuuuwih!
kote huko nakoswa koswa !
hakyamama imekula kwangu!cha
Hilo la wanaume tunasubiri kutoka kwenu mkuu! kama ambavyo wanaume wanatoa mapigo wayapendayo!!mara wenye hips, ndevu, kidoti, mwanya...... Kaaah,,,,, nataka muweke na sifa za wanaume wanaopendwa LOL!!!!!!!
mkuu data kwenye shingo ndefu hachomoki, ila simwambii inamaanisha nini kwa sasa!!!!..kucha,kidevu,pua,nywele,sauti...etc.
Vyote hvyo bado ...lazima utadondokea mahali
ehehehhehehhe yalianza mahips zikaa ndevu sasa mwanya!
uuuuwih!
kote huko nakoswa koswa !
hakyamama imekula kwangu!cha
mkuu data kwenye shingo ndefu hachomoki, ila simwambii inamaanisha nini kwa sasa!!!!
Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana Wanaume Smart....wewe wavutiwa?
Kuna eneo naombea wasilitaje mwalimu wangu.....
Dah Mkuu ugonjwa wangu huo.. toka demu wangu wa kwanza sijabahatika tena. They're very smart am telling u
mkuu naona umenikaba kweli kutaka kujua kulikoni.. kwa ufupi tu ukiachia mbali kuvutia lakini huwa wako sexy sana! walio wengi, wanahitaji mda wa kutosha kunako 6 by 6!..
Kuna binti mmoja nipo nae karibu mtaani ana shingo ndefu na kabarikiwa nywele....
Siri yao nin hawa.?







Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana Wanaume Smart....wewe wavutiwa?