Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Ndiyo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu kwa kuwa mnaangalia matamanio zaidi kuliko sifa ya mke kuwa mama wa familia, ni meneja!!!! Mwanya na vidoti vitanisaidia nini kama mwanamke atakuwa mzuri but hivyo kwa family. Tofautisha mwanamke wa starehe na mke!! Off course tunaoa wale tunaowapenda kufanya nao maisha, ni lazima upendo uwepo ila vigezo vingine ni zaidi ya hapo!!! Chezea ndoa wewe!!
 
Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana Wanaume Smart....wewe wavutiwa?
Weka picha ya mfano unachokisema,otherwise hata mwenye kovu chini ya pua atakuja na longo longo zake pia,
 
Hujalazimishwa kuanzisha topiki. Kama huna cha kuandika soma michango ya wenzako. kama hutaki, nyamaza kimya.
Mwanamalundi........hili jina la babu yangu Bariadi alikamatwa miaka hiyo akapelekwa Dsm akageuka Inzi,akurudi Bariadi kimiujiza ,alikuja kufia kwenye mti,karibu na kwake kijiji cha Gamboshi-Bariadi,na Mti ule ulikauka kama kuni.
Ukitaka nikupe stori yake niambie.....alikuwa na sayansi ya hali ya juu.Sasaivi nipo Ngulyati naelekea huko kwa Mwanamalundi-Gamboshi-Bariadi.
 
Back
Top Bottom