Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Huu ni upuuzi....na kwa mtu anayevutiwa na mwanya tu au kidoti cha mwanamke basi huyo ana weakness fulani. Mwanamke smart au jasiri ana mvuto wake na anakufanya hata wewe ufanye kazi kwa bidii. Mimi sivutiwi kabisa na wanawake dizzaini hiyo ya kidoti au mwanya...navutiwa na smartness ya mwanamke.
Umetoa mawazo mazuri sana sana yako binafsi,wewe unavutiwa na hivyo ulivyovitaja,je na wengine wavutiwe na hivyo vyako? "Attractnes is Perception,and Perception is your experience on that issue" Mawazo ni uhuru wa mtu lakini yawe na mipaka na Staha.
 
Mwanya unaouzungumzia hapa ni wa size ngapi...maana kuna watu wana mapengo ila wanaita mwanya...
Nafikiri kwa hesabu za haraka haraka ni 1/2 au 3/4 ya jino zima,huo ndo kwa Wastani Mwanya.wenye kujua kuutumia wanajua vema umuhimu wa mwanya katika mahusiano.
 
mwanamke mwenye mwanya analia kimahaba vizuri sana wakati wa mahaba...anampokea mwanaume vizuri sana..
Hili nimejionea
Yeah,sasa kumbu watu wanaanza kufunguka,Duuuu,pia wapo wanaoingiza ulimi kwa mpenzi wake katikati ya mwanya ktk Romance etc,duuu anaweza kukufinya na mikono yake uendelee tu,mi sitaki kuendelea hapa bana.
Ahsante Data kwa kutoa data hapa kidogo ambazo tunazitumia kama Infortmation.
 
ehehehhehehhe yalianza mahips zikaa ndevu sasa mwanya!
uuuuwih!
kote huko nakoswa koswa !
hakyamama imekula kwangu!cha
Wewe Snowhite,wewe uzuri wako uko kitandani bana kama kitanda chako kinavyoonekana Kizuri ....wewe nae,Snowhite....
 
Wewe Snowhite,wewe uzuri wako uko kitandani bana kama kitanda chako kinavyoonekana Kizuri ....wewe nae,Snowhite....

kereeeeeeeeuwiiiiiih!
hii bado kuonwa na Kongosho na Kaunga
chaa!
hakyamama walahi!watu mna mijiguts mwe!
 
Last edited by a moderator:
Huo ni mtazamo wako, sisi wengine vitu hivyo havishtui hata kinyweleo.
Mawazo ni kama bahari inategemea unachota wapi au unayaonea wapi,lazima tutofautiane ili tujue wengine wakoje.....
 
mie mwanya wanidatisha ile mbaya hasa akismile,nikimwangalia anatabasamu dah napenda sana.
Ila mnene no.
Kumbe wewe unatafiti sana uzuri wa mwanamke,ok,mwanamke akitabasamu humvutia mwanaume kwa hali zote,tena akiwa na mwanya DUUU,Kama vile anakuitaeee.....hawajuagi kuchukia hawa....hata kama hajaenda shule huonekana ameenda,hii ni Perception tu....
 
Jokate anakulipa kwa hyo kazi unayofanya ya kumpa promo? Mie wanawake wanaonivutia ni wa design kama hawa:-
1.AK-YULE ALIYO ACT NA LLOYD BANKS FT AVANTS KWENYE VIDEO
2.YULE DEMU ALIYE ACT NA 50 CENT KWENYE 21QNS
3.YULE DEMU ALIYE ACT NA LL COOL J KWENYE LUV YOU BETTER
4.YULE DEMU ALIYE ACT NA TIMBERLAND SAY SOMETHIN VIDEO
5.YULE DEMU ALIYE ACT NA FABOLOUS TRADE IT ALL ALIYEKUWA NA STROLLER NA JERSEY YA BLUE
6.CHRISTNE MILLIAN
Haaa hivi kumbe humu anaongelewa jokate?nilikuwa sijui,na pia kumbe jokate ana Mwanya?DUUUU,
Mawazo ni mapana sana sana ,na yote yanaweza kuwa sahihi kulingana na "ATTITUDE Dhidi yake"ok tunaheshimu mawazo yako,yaani mi hata mmoja simjui hapo,itanibidi niwe up to date niwe International nitoke local.
 
mmmmmmmmmmmhhhhhhhh ndugu yangu monaco kuna connection gani kati ya vidoti,mwanya na wanaume smart?
Uhusiano uliopo unategemea na uzoefu wako ktk eneo hilo na vitu hivyo....kila mtu anaweza kutoka na mtazamo tofauti kulingana na eneo analotoka/Experience kuwa wewe uko exposed kiasi gani na watu hawa.
all in all ni mawazo tuu....
 
Kwa baadhi tena kubwa sana ndio maana baadhi ya wadada huamua kuchonga mwanya fake na kulipa mapesa chungu nzima. Ni mmoja ya mvuto unaowavutia baadhi ya wanaume kama vile miguu iliyoshiba, wowowo la uhakika, sexy and romantic eyes/lips, miondoko ya mrembo n.k.

Kumbe mwanya nao dili?
 
Mwanamalundi........hili jina la babu yangu Bariadi alikamatwa miaka hiyo akapelekwa Dsm akageuka Inzi,akurudi Bariadi kimiujiza ,alikuja kufia kwenye mti,karibu na kwake kijiji cha Gamboshi-Bariadi,na Mti ule ulikauka kama kuni.
Ukitaka nikupe stori yake niambie.....alikuwa na sayansi ya hali ya juu.Sasaivi nipo Ngulyati naelekea huko kwa Mwanamalundi-Gamboshi-Bariadi.

Ha ha ha ha!!! Hebu nipe hiyo stori mkuu!!! Wasalimie wananchi wa ngudu na sumve.
 
Kwa baadhi tena kubwa sana ndio maana baadhi ya wadada huamua kuchonga mwanya fake na kulipa mapesa chungu nzima. Ni mmoja ya mvuto unaowavutia baadhi ya wanaume kama vile miguu iliyoshiba, wowowo la uhakika, sexy and romantic eyes/lips, miondoko ya mrembo n.k.

Duu..basi nazidi kumshukuru mungu kwa uumbaji wake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Thamaní ya mwanamke K tu, mengine mbwembwe. Hata awwe na mwanya na mgongo mara kidoti kama hana hiyo utatia wapi? Wacheni urongo.
 
Back
Top Bottom