Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

​https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/123522-mwanya-uzuri-wa-asili-4.html
 
Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana Wanaume Smart....wewe wavutiwa?


Huu ni upuuzi....na kwa mtu anayevutiwa na mwanya tu au kidoti cha mwanamke basi huyo ana weakness fulani. Mwanamke smart au jasiri ana mvuto wake na anakufanya hata wewe ufanye kazi kwa bidii. Mimi sivutiwi kabisa na wanawake dizzaini hiyo ya kidoti au mwanya...navutiwa na smartness ya mwanamke.
 
ehehehhehehhe yalianza mahips zikaa ndevu sasa mwanya!
uuuuwih!
kote huko nakoswa koswa !
hakyamama imekula kwangu!cha

usikate tamaa rafiki bado sifa hazijaisha, maana bado wenye kengeza, matege, macho makubwa/madogo, wanene/wembamba, nk...........! Mi nakaa mkao wakuwatch tu!!!!!!
 
Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana Wanaume Smart....wewe wavutiwa?

hiki ni aje, mazee?

23475_10150164908045641_1381297_n.jpg
 
usikate tamaa rafiki bado sifa hazijaisha, maana bado wenye kengeza, matege, macho makubwa/madogo, wanene/wembamba, nk...........! Mi nakaa mkao wakuwatch tu!!!!!!

labda kwenye hiyo n.k rafiki!
 
mwalimu snowhite una nini nami? saa yangu haijawadia bado, mi ndo maana nimesema I wish wasije wakasema vingine mwalimu, sasa data fasta ametaka faili!

CC cacico!
ahahahhahhaha mwalimu huwa hachelewi wala hawai
hufundisha kwa wakati unaompendeza
hasa kama mafile yanaongezeka na wanafunzi nao wanaongezeka
cc Asprin kwa taarifa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom