Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

Kongosho waache Wanaume banaaa waseme vile vitu vinavyowavutia kwa wanawake mpaka kuamua huyu mwanamke ni lazima nimtongoze. Hujasikia weye wanawake wengine wakilalamka jamani mie nina mkosi. Nikitoka na wanawake wenzangu wao wanaweza kutongozwa hata mara tano kwa siku moja mie walaaa, na kila siku huwa hivyo. Sijui sina mvuto kwa Wanaume wanaoniona au nina mkosi. Njemba inaweza kuwaona wanawake 20 na inajua fika wote wana K lakini wa 21 njemba ikasema huyu dada nitafanya juu chini mpaka nimpate. Kuna vitu mbali mbali kwa Wanaume ambavyo vinaongeza mashamsham ya kuwa na binti dada kwenye faragha na hivi vinatofautiana kati ya mwanaume na mwanaume. Mwingine anaweza akakwambia mie matiti yake yananimaliza kabisa, mwingine akakwambia mie macho yake, wowowo n.k. Kuwa na K kwa wanaume wengi haitoshi kumfanya njemba imtokee mdada kwa kujua tu eti ana K.




Thamaní ya mwanamke K tu, mengine mbwembwe. Hata awwe na mwanya na mgongo mara kidoti kama hana hiyo utatia wapi? Wacheni urongo.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376760818005.jpg
    uploadfromtaptalk1376760818005.jpg
    13.8 KB · Views: 454
well noted mkuu.
Uhusiano uliopo unategemea na uzoefu wako ktk eneo hilo na vitu hivyo....kila mtu anaweza kutoka na mtazamo tofauti kulingana na eneo analotoka/Experience kuwa wewe uko exposed kiasi gani na watu hawa.
all in all ni mawazo tuu....
 
Siyo kweli bwana, mbona mie ninacho na sijawaona hao masmartboy.
 
inasemekana wanawake wenye mwanya au ki alama cheusi chini ya pua huwavutia sana wanaume smart....wewe wavutiwa?

kidoti sijui lakini mwanya ni ishara ya miss victoria kuwa kubwa na kama kiganja cha mtu
 
kidoti sijui lakini mwanya ni ishara ya miss victoria kuwa kubwa na kama kiganja cha mtu
Duuu,hii ya kiganja nisikia kidogo,bt ya mwanya kama inaendana na yale mambo,sina hakika, "Miss Victoria"
 
Siyo kweli bwana, mbona mie ninacho na sijawaona hao masmartboy.
Lisa....Duuu kumbe unacho,subiri PM tu zije,kuna jamaa hapa kazini msumbufu kweli wa hiyo kitu....itabidi nimwambie ajiunge JF aku PM.
 
inawezekana,mi niliwahi kuwa nae mwenye kidoti sema alikuwa mama huruma
 
Hapa namkumbuka frida wangu. mwanya wake Mungu aliweka vpmo vkakaa. ILA MI ZAIDI NAPENDA WENYE WOWOWO
 
Back
Top Bottom