Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
45,193
2,000
Kumbe kuna kukataliwa ili uje mara nyingine..?不不不 Kwahiyo kwa kifupi unapenda usumbufu yaani ile njoo kesho njoo kesho na wakati kumbe unataka
Sitaki nataka wana tabu sana! Napenda nimwambie demu ukweli na anielewe haraka.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
45,193
2,000
1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa lolote. Bado natafuta huu ugonjwa unaitwaje eti. Maana naona hii tabia inazidi kushika kasi.

2. Mwanamke ambaye unamtokea anakukataa kwa mbwembwe zote. Alafu unamwona shosti yake anakutaka, mkaanzisha mahusiano yenu wawili. Sasa yule wa kwanza akishajua basi anaanza timbwili. Kwani wee mdada si ulinikataa? Unataka na wengine wanikatae? acheni wivu wa kijinga. Ukisema wa nini mwenzako anasema atampata lini.
Possibilities ziko 2:

1.Alikua na mtu anayempenda ila imetokea wametibuana au demu kafanya umalaya kafumaniwa huko kaachwa! Mara nyingi mademu wanakuwaga na wanaume wa backup, hawa wapo tu huwa wanachat chat nao kupoteza mda na unakuta washatongozwaga! Mtoa mada huenda ni mfano wa hao jamaa wa kwenye To-Do list ya manz!

2.Alikuwa anaona wewe sio wa hadhi yake ila ukimchukua best yake ghafla lazma akuwaze yani! Sababu huenda utamchukua rafiki yake kisu mno kuliko yeye!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom