Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

Haya utakuja na uzi hapa. We ngoja moto ukianza kuwaka sisi tutakuwa wasomaji tu hapa. Huku pembeni tunacheka.... Kwi kwi kwi kwi kwi hatuna mbavu.
Brother chukua na godoro ulale kabisa maana utachoka kunisubiria
 
Bahati mbaya sijakutana na wa hivi. Naomba ujue huyu anayejileta, mambo yamemharibikia anatafuta pa kuegemea.

Nasema; ogopa mwanamke aliyeumizwa na akajileta, hapo huna lako akitulia anamrudia bwanake.
Kweli bana nilikuwa na kidemu kuleeee Musoma si kika niacha bwanawee!! kuumbe kina njemba inaitwa Metsela bana! ile njemba bidae kidogo ikafa kwa ukimwi!!

Madem wa ajabu sana !!! kidemu si kika jileta kwangu kiulainii kabisa!!! km kawaida mademu hawakawii kuchakaa na vile alisha tumika weee!! plus madhara ya ukimwi!! Lool! mbona niliona km ametapikwa na chatu!....siyo demu niliye mzoea yule wa kale!

Naona km nilmeletewa mzoga flani hivi!! jamani mtake msitake, na watukatae salama usalimini!! ila Mademu hawakawii kuchakaa!!! chakali choka mbaya!! akishusha injini ndo kabisaaaaaa!
 
Kweli bana nilikuwa na kidemu kuleeee Musoma si kika niacha bwanawee!! kuumbe kina njemba inaitwa Metsela bana! ile njemba bidae kidogo ikafa kwa ukimwi!!
Wanaume tumeshusha thamani yetu kwa kutongoza hovyo, kimsingi sisi ndio tunatakiwa kutongozwa na kufukuziwa na hawa viumbe.

Lakini kwasababu tumejidharau, kutwa tunaumizwa kama mazuzu na tunapangwa foleni ya kutisha.
 
Sometimes hata mambo hayakuharibika ,we haijakutokea mtaani unatoswa na madem kibao ngoja wasikie umempata dem mpya hapo hapo wanaanza kukutafuta.

Au anakukataa mazima week ijayo akuone umesimama na mwanamke mara anaanza msg ooh kumbe una mwanamke ulikuwa unataka unichezee tu
Sha pataga wa hivi ila kusema kweli nilikapenda jamani mwee! kimaria lkn kikaja kuniacha kimeolewa na jamaa ila hawatakuwa na mtoto bidala yake ni wangu tu ndo anatawala pale
 
Bahati mbaya sijakutana na wa hivi. Naomba ujue huyu anayejileta, mambo yamemharibikia anatafuta pa kuegemea.

Nasema; ogopa mwanamke aliyeumizwa na akajileta, hapo huna lako akitulia anamrudia bwanake.

Kweli kabisa mkuu, hapo ulipo agiza kinywaji nakuja kulipia bili. Kuna kipindi dada mmoja alikuwa rafiki yangu sana, ameolewa. Sasa kuna kipindi akamfumania mume wake amezaa nje ya ndoa. Paliwaka moto akapanic sana mara.

Ndoa yao iliyumba sana, hadi akawa ananishirikisha kila kitu anachofanya au kuongea na mumewe, pamoja na vikao vya ndugu vya usuluhishi. Ukaribu wangu mimi na yeye uifika hatua akawa ananihitaji nimuliwaze na kumpa ushauri how to go around that case. Ila mimi sikutaka kushauri.

Nilimwambia muyamalize wenyewe anipe hitimisho. Kuna wakati alikuwa tayari kwa loote na alinisihi sana niwe mpenzi wake ila tufanye siri. Katika kuchat naye alikuwa ananitumia hadi picha zake za uchi angle zote. Nakumbuka kipindi hicho mume wake alikuwa mkoa mwingine kikazi. Sijui kwanini, ila roho yangu iligoma kabisa kusex na yule dada nikawa napiga kalenda tuu, ila tulikuwa tunafanya sex chat whatsaap usiku hadi anajikojoza.

Baada ya muda kupita waliyamaliza mambo yao na mume wake nikaona penzi lao limeshamiri upya. Akawa anampost sana kwenye status. Aisee siku hizi hata nikigusia hizo story anaweza kunitukana kabisa. sema kuna ibilisi ananisumbua hadi leo sijazifuta zile picha zake na hivi karibuni nilimtumia nikamwambia aje azichukue. alinishushia mvua ya matusi sijapata ona.
 
Kweli kabisa mkuu, hapo ulipo agiza kinywaji nakuja kulipia bili.
Kuna kipindi dada mmoja alikuwa rafiki yangu sana, ameolewa. Sasa kuna kipindi akamfumania mume wake amezaa nje ya ndoa. Paliwaka moto akapanic sana mara. Ndoa yao iliyumba sana,
Hakuna kitu nachukia kama msichana kunitumia picha za uchi.
Sitataka hata kumuona.

Hili la wenye stress kujileta nimekutana nao wengi sana.
Kuna mmoja ni hivi karibuni yaani yuko tayari yeye agharamie kila kitu.
Nilimpiga kwara wa hatari hadi juzi kanitimia sms ya kulalamika.

Wanaume tuepuke mahusiano ya mwanamke mwenye stress. Utakolea na utashangaa anarudi kwa x wake unaanza kulaani....usiseme sijakwambia.
Tongoza mwenye akili timamu, ametulia akili nk
 
Ila nina swali moja: Hivi inawezekanaje mwanamke kutuma picha zake za uchi kwa mwanaume, ili hali hawajasex, na hajui kama huyo mwanaume atasex naye.

Na je, inawezekanaje baadaye kukataa kulala na huyo mwanaume wakati anajua huyo mwanaume ana picha zake zote. Hata akitembea barabarani ni kama yuko uchi tuu.
 
Jamaa hana mbegu?
Yaani sababu nilikapendaga bana! Kademu kale hakakosagi kuja kuniona!! Kananipa full Mkanda, yaani nawashauri tu msioe mke wa mutu wajamani mnachoreka sana huko!

Jamaa siku moja kafuma number yangu kwenye simu ya demu wake! eti na yeye kwa ujinga wake akanipigia simu....... Nikapokea........
 
yaani sababu nilikapendaga bana! kademu kale hakakosagi kuja kuniona!! kananipa full Mkanda, yaani nawashauri tu msioe mke wa mutu wajamani mnachoreka sana huko! jamaa siku moja kafuma number yangu kwenye simu ya demu wake! eti na yeye kwa ujinga wake akanipigia simu....... Nikapokea........
Achana na mke wa mtu bro,
 
Achana na mke wa mtu bro
Lakini mkuu si alikuwa wangu bana yeye ndo aache mke wangu!! haki ya...ajaribu aone moto, na mie mafya kinyama yaani nimejiandaa hiyo asithubutu...asee! lool! mbona patachimbika yeye kaoa mke wa mtu! na

Mie nimeingia gharama hataki amuache yaani kuvamia mtu aliye jiandaa ni shida sana! asije jaribu itamtokea puani ......... huyu wa sasa haa wachukue tu! nataka kichanchuda changu bana kirudi!
 
Lkn mkuu si alikuwa wangu bana yeye ndo aache mke wangu!! haki ya...ajaribu aone moto, na mie mafya kinyama yaani nimejiandaa hiyo asithubutu...asee! lool! mbona patachimbika yeye kaoa mke wa mtu! na

mie nimeingia gharama hataki amuache yaani kuvamia mtu aliye jiandaa ni shida sana! asije jaribu itamtokea puani ......... huyu wa sasa haa wachukue tu! nataka kichanchuda changu bana kirudi!
Mke aliyekuacha na kuolewa na mwingine kwa hiyari yake bado unamtaka?
Skija kwako pia ataendelea kuliwa na jamaa, mkeo ni kicheche
 
Mke aliyekuacha na kuolewa na mwingine kwa hiyari yake bado unamtaka?
Skija kwako pia ataendelea kuliwa na jamaa, mkeo ni kicheche
Asa Mkuu akiliwa si yeye bana! mie inanihusu nini? kwani mie siwezi kula huko nje? Kma Una dhani mkeo haliwi Mkuu! ni kujidanganya mchana kweupe pee!! afadhali zaidi unae jua kuwa analiwa na flani!! na mikwara waweza kuwa unampiga kuliko anae liwa na Muuza genge! Boda boda Malaya pasi bila kujua!

Ukijua analiwa na flani unaweza mtisha baby wako! ''yule jamaa ana ukimwi kaua wanawake saba! twende tukapime!'' ! ile kuishi kwa kupima pima tu kila leo inatosha kumnyima demu wako raha! hata akichelewa kurudi utajua yuko mahali flani!!

Huyo huyo mgoni wako atakusaidia kumlinda Mkeo! hata akipigwa atapigwa na mmoja! kuliko usiye mjua atapigwa na wengi! akizaa kitoto cha nje una mpa makavu! hii mimba si yangu ataishi kwa mashak kitu ambacho mademu wengi hawapendi!

Halafu mbaya wako unae mjua ni rahisi sana kumpiga Nyundo au kipapai, si unamjua? unadhani ataishi kwa raha? yeye ataishi kwa mashaka makubwa mnoo! hata jiamini anaweza kujifia tu! ghafla!

Tena nikupe dawa ya bure sasa! siku ukiwakamata ugoni, usiwafanyie chochote!! tamka tu alaah! kuuumbe! weee pita hivi! wataenda kujifia ghafla tu!
 
Asa Mkuu akiliwa si yeye bana! mie inanihusu nini? kwani mie siwezi kula huko nje? Kma Una dhani mkeo haliwi Mkuu! ni kujidanganya mchana kweupe pee!! afadhali zaidi unae jua kuwa analiwa na flani!! na mikwara waweza kuwa unampiga kuliko anae liwa na Muuza genge! Boda ghafla!

tena nikupe dawa ya bure sasa! siku ukiwakamata ugoni, usiwafanyie chochote!! tamka tu alaah! kuuumbe! weee pita hivi! wataenda kujifia ghafla tu!
Ninashangaa kuna wanaume kama wewe.
 
Kama nilikua nukusubili uje mara nyingine ndio nikukubalie harafu wewe ghafla tu unaenda KWA shoga yangu una uhakika nimekukataa kweli? Mseleleko
Kuzungushana mda mrefu huwa inakera, bora uzungushe lakini unaonyesha nia.
Ukiringa nabeba kikali zaidi yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom