Wanawake wenye akili/smart mnawapata wapi?

Wanawake wenye akili/smart mnawapata wapi?

Mkuu utapata shida sana,ukianza kukidadavua hicho kiumbe. Wanasayansi wenyewe wameinua mikono,na hapo ni baada ya kumuingiza kwenye mavitabu na mavitabu,wakafikiri wamemaliza kumfahamu mwanamke,wanakuta kesho ameibuka na jipya kabisa mwanamke mwingine. Mwisho wakasema anajua mwenyewe aliwaleta. Nakusisitiza usipoteza muda na hivyo viumbe. Wenyewe tu hawajijui. Tena hawa wa siku hizi wa digital hata awe msomi ni bure kabisa. Kungekuwa na papuchi ambayo haiko kwa hawa viumbe,nisingetaka hata wapite karibu yangu.
Njoo pm tuyajenge mama
Nimekuelewa Sana Bibie
Nondo ya ukweli
Big up!!!!
 
maybe nawe ni waina hiyo ila tu hujijui ndo maana unawaona tofauti
 
Mtoa mada umesema ukweli. Unakuta mdada mlisoma naye primary na secondary alikuwa smart sana. Sasa hivi ni majanga. Sijui ni nini kinatokea, wanakuwa wanajali zaidi mionekano yao na kuvutia wanaume kuliko intellectual development.
I need smart one like you..
 
Kwel kuna wanawake pasua kichwa uelewa wa mambo mdogo, mi kuna she amekaa hiyo place miaka 2 lkn namuuliza kituo cha polisi kiko WAP hajui kilipo, mi sio mgen kivile eneo husika. Hata mambo ya kawaida yanayotokea hajui (current issue)
Hahaa..kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom