Wanawake wenye akili/smart mnawapata wapi?

Wanawake wenye akili/smart mnawapata wapi?

Kuna maswali mengi inabidi uyajibu
1. Your neighborhood
2. Elimu yako
3. Kazi yako, Lawyer hawezi kuwa sawa na bodaboda ofcourse.
4.Kipato chako kitakuruhusu utembelee sehemu fulanifulani hivi wanapopatikana wa aina fulanifulani
5.Hobbies ulizonazo, mfano kutembelea Museums, Libraries, exhibitions fulani fulani, michezo ya aina fulani ni tofauti na mtu mwenye hobby ya kuangalia tu mpira nyumbani au movie au kupiga tu stories vijiweni.
6.Sehemu pia za Ibada, ( most of time si mara zote) utakutana na watu wanaojitambua.
Na kadhalika nyingine watusaidie wengine
Mkuu umeeleza vizuri sana, tatizo lipo sehemu jamaa anapowakutia.
Wanawake smart wapo wengi tu, wangu nilikutana nae library.
 
Kwel kuna wanawake pasua kichwa uelewa wa mambo mdogo, mi kuna she amekaa hiyo place miaka 2 lkn namuuliza kituo cha polisi kiko WAP hajui kilipo, mi sio mgen kivile eneo husika. Hata mambo ya kawaida yanayotokea hajui (current issue)
 
Aisee bora umeliona hili, in my lifetime nlikutana na mwanamke mmoja tu aliye bright kichwani, mtoto wa ki zanzibar ila ujana ukanizidi.Tangu hapo nakutana na watu dah! Mtu unamuuliza nikikupa 500k utafanya biashara gani?? Anakujibu nipe kwanza ndo ntajua nifanye nini
 
Hao smart nilikuwa nakutana nao kabla sijawaza kuoa. Nikirudisha majeshi nyuma naambiwa wameshaolewa.

Ila kwasasa kila nayekutana naye ni wale wale. Mnaonana leo kesho kutwa tu umeshajua tabia zake zote.

Pia utapokutana na ke, usimwambie kama unataka kumuoa fasta.

Ila yote kwa yote ni kuzidi kumwomba Mungu atusaidie sana.

Pitia na ujumbe kwenye picha[emoji116] chini.
IMG-20190831-WA0077.jpeg
 
Kweli huwa inachosha.. Mi wa kwangu, kafa Mugabe akaniuliza hivi alikuwa Rais wa wapi? [emoji3][emoji3]
Kwel kuna wanawake pasua kichwa uelewa wa mambo mdogo, mi kuna she amekaa hiyo place miaka 2 lkn namuuliza kituo cha polisi kiko WAP hajui kilipo, mi sio mgen kivile eneo husika. Hata mambo ya kawaida yanayotokea hajui (current issue)
 
Habari wakuu..

Uzi wangu hauna lengo la kubeza uwezo wa wengine wa kufikiri au kutaka kujikweza.

Siwezi sema niko smart sana ila angalau nina awareness ya mambo kadha kwa kadha, napenda kujifunza vitu vipya na maarifa ya ziada kila uchwao.

Shida yangu ni moja, sikumbuki kama nimewahi kuwa na mwanamke ambaye yupo vizuri/smart katika ufikiri na mambo yake kiujumla. Wanawake ninaowapata wanaishia kunidisappoint, unakuta mtu hata uelewa wa mambo yanavyoenda katika dunia ya leo hana kabisa.

Siwezi waita vilaza ila ni aina ya watu ambao hata ukiamua kumfundisha vitu basics kabisa inakuwa kama ni kutwanga maji kwenye kinu.

Zaidi ya umbea, kuingia insta na kupost status whatsapp unakuta hana cha ziada kingine.

Je, wanawake wote wako hivyo? Kama hawako hivyo je nyie wenzangu mnawapata wapi wanawake ambao wanaweza hata kukuletea zawadi ya kitabu ukisome?
Mkuu utapata shida sana,ukianza kukidadavua hicho kiumbe. Wanasayansi wenyewe wameinua mikono,na hapo ni baada ya kumuingiza kwenye mavitabu na mavitabu,wakafikiri wamemaliza kumfahamu mwanamke,wanakuta kesho ameibuka na jipya kabisa mwanamke mwingine. Mwisho wakasema anajua mwenyewe aliwaleta. Nakusisitiza usipoteza muda na hivyo viumbe. Wenyewe tu hawajijui. Tena hawa wa siku hizi wa digital hata awe msomi ni bure kabisa. Kungekuwa na papuchi ambayo haiko kwa hawa viumbe,nisingetaka hata wapite karibu yangu.
 
🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️ mh.. kina Maimuna sie uzi hautufai huu....

Utani pembeni...
Huyo mwanamke smati utamuwezaaaa???
Mwanamke Smati akili yake inachakarika na ipo dakika moja mbele... na wao hupendelea zaidi wanaowiana akili..au kumzidi angalau ili waende sawa.

Sio unataka mwanamke smati halafu umuwekee vikwazo, vigingi na minyanyaso..Havumilii
Ni bora kubaki na saizi yako tuu.
 
Back
Top Bottom