mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,685
- 10,369
Ebu njoo pm tuongee vzr mtoto mzurHahaa umejuaje aisee ,hongera Kwa kumiliki chura kama contena na kuwa smart kichwani, yaan 2 in 1[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu njoo pm tuongee vzr mtoto mzurHahaa umejuaje aisee ,hongera Kwa kumiliki chura kama contena na kuwa smart kichwani, yaan 2 in 1[emoji1]
This made my night wallah!!😂😂😂😂Mungu humpa mtu wakufanana nae.
real?if yes,, am I,,,This made my night wallah!!😂😂😂😂
Mwanamke hata hajui namba ya dharura ya Tanesco/fire/polisi, etc likitokea tatizo, anakupigie simu kukuuliza afanyaje,badala kupiga fire.
Mtoto anacheza barabarani anaishia kusema "nitakusemea kwa baba ako wewe".
JitafakariHabari wakuu..
Uzi wangu hauna lengo la kubeza uwezo wa wengine wa kufikiri au kutaka kujikweza.
Siwezi sema niko smart sana ila angalau nina awareness ya mambo kadha kwa kadha, napenda kujifunza vitu vipya na maarifa ya ziada kila uchwao.
Shida yangu ni moja, sikumbuki kama nimewahi kuwa na mwanamke ambaye yupo vizuri/smart katika ufikiri na mambo yake kiujumla. Wanawake ninaowapata wanaishia kunidisappoint, unakuta mtu hata uelewa wa mambo yanavyoenda katika dunia ya leo hana kabisa.
Siwezi waita vilaza ila ni aina ya watu ambao hata ukiamua kumfundisha vitu basics kabisa inakuwa kama ni kutwanga maji kwenye kinu.
Zaidi ya umbea, kuingia insta na kupost status whatsapp unakuta hana cha ziada kingine.
Je, wanawake wote wako hivyo? Kama hawako hivyo je nyie wenzangu mnawapata wapi wanawake ambao wanaweza hata kukuletea zawadi ya kitabu ukisome?