Amini nakwambia unaweza ukampata na akakutoka haraka kupita maelezo.
Duniani kila kitu kina balance yake. Mwanaume/Mwanamke, Joto/Baridi, Tajiri/Maskini, Urefu/Ufupi... Kila kitu kina sifa tofauti kuleta balance fulani ili maisha yasonge. Wewe mwenye akili sana ukikutana na mwenye akili mwenzio balance hakuna inaweza kuwa kitimtim maana smart people sometimes wana ego. Na wote mkiwa hvyo, tafuta panadol mapema. Labda kuwe na balance kwenye nani anaweza kujishusha n.k.
Na pia smart ni kitu relative sana. Pengine unaangalia sana ujuzi wake kwenye elimu za darasani hvo utaona sio smart. Relationships zinahitaj balance ya nguvu na dhaifu kati ya wewe na mwenzio. Kuna sehem ambayo wewe sio smart, lakini mwenzio ni smart na vice versa.
Hivo vitu basic ambavyo wewe unavijua, ndio mchango wako kwenye hayo mahusiano unaoziba hilo pengo kwa mwenzio, tafuta sehemu ambayo mwenzio yuko smart au better than you na yeye azibe hilo pengo kwako. You'll be happier.
Tafuta hyo balance.
Nb: Lakini usiangukie tu sehem sio ukasema una balance.... [emoji23]