Elena of Avalor
Member
- Nov 27, 2019
- 93
- 133
Kwa swali hili napata shaka sana na uelewa wako kuhusu mwanamke smart unaemtaka
Smart people know where to get smart things
Smart people know where to get smart things
Mtoa mada naye natafakari naona mapungufu yake ndo makubwa kuliko anaokutana naoKwa swali hili napata shaka sana na uelewa wako kuhusu mwanamke smart unaemtaka
Smart people know where to get smart things
Habari wakuu..
Uzi wangu hauna lengo la kubeza uwezo wa wengine wa kufikiri au kutaka kujikweza.
Siwezi sema niko smart sana ila angalau nina awareness ya mambo kadha kwa kadha, napenda kujifunza vitu vipya na maarifa ya ziada kila uchwao.
Shida yangu ni moja, sikumbuki kama nimewahi kuwa na mwanamke ambaye yupo vizuri/smart katika ufikiri na mambo yake kiujumla. Wanawake ninaowapata wanaishia kunidisappoint, unakuta mtu hata uelewa wa mambo yanavyoenda katika dunia ya leo hana kabisa.
Siwezi waita vilaza ila ni aina ya watu ambao hata ukiamua kumfundisha vitu basics kabisa inakuwa kama ni kutwanga maji kwenye kinu.
Zaidi ya umbea, kuingia insta na kupost status whatsapp unakuta hana cha ziada kingine.
Je, wanawake wote wako hivyo? Kama hawako hivyo je nyie wenzangu mnawapata wapi wanawake ambao wanaweza hata kukuletea zawadi ya kitabu ukisome?
cc BehaviouristKama unapenda sana chura hilo nalo ni tatizo,.
Mother mbona naku imagine una kichura mchokozi hivi😂😂😂 (just a joke🙏🙏🙏)Woiiii
Tuko smart balaaa
Kukupa zawadi ya kitabu cha laki hatuoni shida wala ninii....kwani shin'ngapi bhanaa...😂
👏👏👏👏👏 You're smart enough to philosophiseSjui kama unajua kila mfuniko unafunika kopo lake mtoa mada?? Uwezi kuchukua kisoda ukafunika kopo la toss.......
Doh!Liquid
Lol😆😆😆am too flat to show'up ma'selfMother mbona naku imagine una kichura mchokozi hivi😂😂😂 (just a joke🙏🙏🙏)
Promotion tuu hizo😎Aisee sasa mbona tafiti zinasema wenye 'chura' ndio huzaa watoto wenye IQ kubwa.