Mkuu
everlenk ki ukweli siku dhamiria kuandika sana kuhusu huyu dada (mrembo) ambaye watu wengi walishajaribu kumshawishi arudiane na mume wake lakini akagoma..
Huyu dada ni mzuri as alivyoolewa na expensive man!! naona akapanda zaidi, i know her since she was at O-level kasomea Rajani secondary na ni msukuma (mnyantuzu) wa Bariadi...
Kikubwa kwake nafikiri ni ile kujiona si mtu wa kusumbuliwa na hataki shida..
Inawezekana aliona kuwa anauzika popote!!
Rob alikuwa mstaarabu (namjua) na mwelewa..
Mtu wakujishusha!! mtu mwingine ukishuka ye anataka apae..
Kakutanishwa mara kibao hataki kuelewa..
Tena na watu wenye heshima zao kagoma!!
Sasa sijui huyu shemeji yangu baada ya huu msiba ataenda wapi..atabaki na watoto ambao tayari alikwisha waacha, ataenda nao au atabaki kuwalea..
CC;
PesaNdogo,
Cyan6