Wanawake wengine hawajui kusamehe

Wanawake wengine hawajui kusamehe

RIP ROB...atazikwa na Pastor aliyempigia goti...PASTOR atatoa ushahidi wa Kusameheeee
 
mimi na wewe hatujui kwa nini jamaa alikuwa namplease aruji nyumba huenda si kushare nae sex kama unavyo fikiri huenda ilikuwa ni kwaajili ya watoto wao tu. Ndoa lelemama usione kuta za nyumba zile zinaficha mengi sana...kwani hujui pana ndoa zipo kwa manufaa ya kule tu watoto wa wazazi kitaaambo hawashiriki. isipokuwa tu kuwalea watoto wao ili kesho na kesho kutwa wasije kuwa mtaani au laumu wazazi wao....hata uteteavyo viipi hapa sijui kama huyo mama atabaki salama..kuanzia personal confli ct na kwa watoto wake. Si rahisi kama tufikirivyo...
siku zoote anaeweza kukupa hali halisi ya magereza si askari magereza bali ni mfungwa.
asante

Kila mtu anajijua moyo wake, usiusemee moyo wa huyo mama. Sawa ndoa wanaishi kulingana na mapatano yao anajijua sijui ya kulea watoto n.k hatujui. Kama ulivyosema jela anaijua mfungwa basi huyo mwanamke anajua jela yake na akafanya anavyoona sawa. Wanaume mnataka kulaumu wanawake bure wakati ninyi ndio chanzo cha kuharibu ndoa na familia zenu. Swali jepesi tu huwa watu wanapochepuka wanakumbuka wana familia na kwamba anaweza kuua mtu kwa ukimwi? Kwa starehe zenu na hapa hamtaki mwanamke afanye maamuzi kwa matakwa yake.
Huwezi kulazimisha kusamehewa au kupendwa, ni mambo binafsi ya moyo wa mtu. Hata kama kusamehe kuna faida kubwa lakini kama ameshindwa kurudi kuishi na huyo bwana basi maana kumsamehe mtu sio lazima waishi wote.
 
Mmmh basi hii stori imeletwa nusunusu.its like wife hana hatia!!!very sorry
 
Tatizo letu wengi ni kutopenda kuwajibika. Actions have consequences, na kama ukikosea expect the worst consequences and hope for the best. Kushindwa kumsaheme mtu sio kosa, unless huyo mtu hajakosea. Na kila mtu ana misimamo yake kuhusu makosa na lipi la kusamehe na lipi si la kusamehe.

Me sijui alikosea nini, lakini siwezi kumlaumu mtu kwa kushindwa kusamehe unless I know the details

I agree kabisa

Binafsi I dont understand inakuaje mtu unapomtendea mtu ubaya hukumbuki verses za kwenye biblia ila utaskia samehe saha mara sabini after kutenda kosa

Hapa some are acting like forgivers all the way wakati ukiuliza ni wangapi wapo na boyfriends or girlfriends or wenza zao wa mwanzo wengi hawapo wote kwasababu waliwatendea vitu wakashindwa kuvumilia
Sijui what made her not go back to him ila labda na yeye uvumilivu ulimshinda, kusamehe na kuvumilia ni tofauti.
Nawaonea huruma watoto but at the end of the day what happened to the guy is not her fault.
 
Siri ya mtungi ajuae ni kata; what we can do just reading the posts and comment our own opinions that all!

Kila mtu anajijua moyo wake, usiusemee moyo wa huyo mama. Sawa ndoa wanaishi kulingana na mapatano yao anajijua sijui ya kulea watoto n.k hatujui. Kama ulivyosema jela anaijua mfungwa basi huyo mwanamke anajua jela yake na akafanya anavyoona sawa. Wanaume mnataka kulaumu wanawake bure wakati ninyi ndio chanzo cha kuharibu ndoa na familia zenu. Swali jepesi tu huwa watu wanapochepuka wanakumbuka wana familia na kwamba anaweza kuua mtu kwa ukimwi? Kwa starehe zenu na hapa hamtaki mwanamke afanye maamuzi kwa matakwa yake.
Huwezi kulazimisha kusamehewa au kupendwa, ni mambo binafsi ya moyo wa mtu. Hata kama kusamehe kuna faida kubwa lakini kama ameshindwa kurudi kuishi na huyo bwana basi maana kumsamehe mtu sio lazima waishi wote.
 
Pesa ndogo
Umenena vyema. Na ieleweke aliyemuua si mkewe ni ajali kutoka na guility concious yake. Kasamehewa mara ngapi na mkewe? Kwann alikiwa akirudia? Alifikiri mwenzie ana moyo wa chuma , yy ndiye mwenye wa nyama na damu?
 
Jmn haya mambo tuyaache kwani vitabu vya imani vinatuambia hukumu na visasi ni juu yake yy muumba, lkn wanaume jueni kuwa wanawake nao wanaumia japo wanasamehe ht pale ambapo ninyi ingekuwa ngumu sn kusamehe
 
dah....RIP Rob......

angemsamehe tu.....ingawa sijui alifanywa nini.....lakini mbona sie tunamkosea sana Mungu na yeye anatusamehe......
 
Pesa ndogo
Umenena vyema. Na ieleweke aliyemuua si mkewe ni ajali kutoka na guility concious yake. Kasamehewa mara ngapi na mkewe? Kwann alikiwa akirudia? Alifikiri mwenzie ana moyo wa chuma , yy ndiye mwenye wa nyama na damu?


Mungu aliposema samehe 7×70 alikuwa ana maana....alijua sisi si wakamilifu.....tunakosea.....ila yatupaswa kuomba msamaha.......angesamehe tu kwani angepungukiwa na nini.....
 
Kweli ukikosea step kwenye kuoa ni regret kubwa.Mshikaji wangu Rob alifunga ndoa yake Mwaka 2007, Alimwoa mdada wa kisukuma beautiful in body structure and face tall and attractive mshikaji alimpenda sana wife wake and good thing alikuwa anampa kila alichotaka.Mwaka mmoja baada ya ndoa yao walifanikiwa kupata Mtoto. Kuna kamgogoro kaliibuka, it was a normal conflict as hata plates zina collide.Hii conflict ilimsababishia dada kurudi kwao bahati nzuri Rob alipenda kujishusha akaenda kwa wakwe yakaisha.

Wakapata mtoto wa pili Rob akawa kwenye harakati za kufanya ujenzi wake kule Bushushu it was a good step in life Kamgogoro kengine kakaibuka kakali kuliko kale ka kwanza as usual mdada akasepa.More than a year in separation, Rob juzi kati hapa akadhamiria kabisa kurudiana na wife wake walee watoto wao wawili, akaamua kwenda hadi kwa mchungaji. Wife akaitwa Rob akamwomba sana wife wake warudiane.Akaomba msamaha mkubwa tena ule wakupiga Magoti mbele ya Pastor wife kachomoa, akagoma kabisa,inasemekana kuna deal alishazianza huko Dar.. Na kwa msisitizo akaamua hadi kwenda kuchukua alivyokuwa amebakiza kwa Rob.

Hii kitu ilimuumiza sana Rob compare na nguvu aliyotumia ku apologies and what he got in returns.Alipata shida moyoni mwake, alihuzunika sana watoto wake kuwa mbali na mama yao, na ujenzi ulikwishakamilika.Ilichukua kama siku 2 hivi akili kumrudi.

Last thursday Rob alitoka walau kukutana na baadhi ya wadau kabla yakurejea kwenye deal zake.
He spoke few words on what happen and then kapiga beer zake mbili.Around 4pm akawasha gari yake kuelekea Kahama.Aisee Rob hakufika Kahama salama, maeneo ya Usanda few Kilometers to Tinde.

Akapata ajali, bad accident kwenye gari walikuwa wawili,yeye na fundi mmoja.Fundi alifariki palepale,Rob alikimbizwa hadi Hospital ya Mkoa Shinyanga government he passed away.

Mke wake nae ndiyo alikuwa anarudi Dar after a big separation.
Alivyopata habari za kifo cha Rob, akageuza safari back to Shinyanga, akapata ajali maeneo ya Igunga bahati nzuri yeye hakuumia sana, alipelekwa hospital na akaruhusiwa na kashajiung

Hii kitu inaumiza sana msamehe mtu kabla usiku haujaingia hujui what is next.Rob's wife hakusamehe and Rob is not alive anymore atazikwa kesho.Bushushu. R.I.P bro & friend.
Nimekumbuka mbali sana.
One of my true story to JF!!

Keep Resting Well Brother Rob.
 
Back
Top Bottom