wakuria sio wababe sema wanajua kutumia mapanga ila hakuna kabila ambalo halina wababe ubabe upo kwa mtu mwenyewe sio kabila
hawana ubabe mimi advance aliingia kumi na nane zangu nilimg'oa meno matatu ya sebuleni.
wakuria sio wababe sema wanajua kutumia mapanga ila hakuna kabila ambalo halina wababe ubabe upo kwa mtu mwenyewe sio kabila
Mkuu hebu shusha
mavitu kuhusu wakurya watu wajue vizuri. Hapo kwenye ku-command fafanua
vizuri.
Fafanua jinsi wanavyo-command.
Aisee!!washamba sana yanataka papuchi kwa lazima afu wako too shaby hawajui kuvaa
kwa mkurya hakunaga neno "naomba"
ni nipe, leta, nataka, rara nikurarie n.k
mi wakurya kwakweli hata na bima ya maisha hapana!!!
kwa mkurya hakunaga neno "naomba"
ni nipe, leta, nataka, rara nikurarie n.k
mi wakurya kwakweli hata na bima ya maisha hapana!!!
hivyo ndivyo walivyo kujiproud tu eti wanajua kupenda
heee heee we khantwe umeshindikana walahii
Kwa upande wetu sisi wakwere ngoma imebalansi.... tunapenda sana wanawake na wanawake wanatupenda sana sisi.
Akina Chacha ... msemaji wao bwana Tyson alishalitolea ufafanuzi kwenye kile kipindi cha dakika 45 kinachorushwaga J3.
wakurya hapana. wasukuma, sawa
cc wakurya wengi wetu magovindaa na mapenzi ya kibabe warembo wanayapenda
ila lile la kweli...Wanaume wa Kikurya dahhh...hapana...Hawajui kuenzi ktk mahaba...Hawana kauli.. wkt woote wao huona wanawake ni wakukandamizwa, mwanamke hana sauti...Hawajui kubembeleza, hawajui kumtayarisha mwanamke wao wanachojua ni letahiyo kitu hapa, sogeza, panua...Nooohhh
Wakwere sijui ndio hao Wazaramo, wanaume wa pwani kwa ujumla kwa kweli wale kwa mapenzi lol unaweza ukapagawa..wanajua kuenzi, wanajua thamani ya mwanamke...Yaani ukiishi nae unajihisi uko na mwenzio ambaye ktk lolote mnasaidiana...ila tu wanakasoro ya umalaya...
Wanaume wa Kichaga, Kipare nao hawanacommand saana ila hawajui kuenzi wao wamefocus zaidi ktk kutafuta kuliko mapenzi..Anaweza akakuingilia hajakutayarisha, yeye akifika kileleni ndio basi wewe mwanamke utajua mwenyewe...
Wanapenda kuwaona wanawake km mahouse girl wao...Wao wako kama mamwinyi...Umpikie, umfulie, mtoto analia wewe upo busy pengine unafua au unapika atakuita njooo mtoto analia yeye hawezi kumbeba na kumbembeleza kama si wake vile !!
Cha msingi wabadilike
Evelyn salt uniacha hoi sn dada....... Bye bye stresskwa mkurya hakunaga neno "naomba"
ni nipe, leta, nataka, rara nikurarie n.k
mi wakurya kwakweli hata na bima ya maisha hapana!!!