Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wa kikurya

Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wa kikurya

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,235
Reaction score
2,512
Hii nimeisikia kwenye kijiwe fulani, jamaa walikuwa wanabishana kuhusu kabila lenye wanaume wanaokubalika kirahisi na wanawake.

Jamaa walikiri kuwa wanaume wa kikurya wana mvuto sana, wapole pia wanajali sana wake zao.

Kuna waliosema kuwa wakurya ni wakali lakini hoja yake haikuwa haina nguvu, hii si mara ya kwanza kusikia kuwa wanaume wa kikurya wanapendwa sana na wanawake.

Naomba wahusika(wadada/wanawake) waje wathibitishe kama ni kweli au la.
 
Kwa upande wetu sisi wakwere ngoma imebalansi.... tunapenda sana wanawake na wanawake wanatupenda sana sisi.

Akina Chacha ... msemaji wao bwana Tyson alishalitolea ufafanuzi kwenye kile kipindi cha dakika 45 kinachorushwaga J3.
 
Tyson alisemaje kuhusu wakurya? maana yeye sio mkurya.
 
wakurya wakijifariji
nilisikia dada wa kikurya akilalamika eti mumewe hampendi kisa hampigi ngumi ni ya kweli haya ?

Sasa unaingia Tarime mura
 
Siyo siri wanaume wa kikurya ni ma handsome sana...ila CV ya kichapo ndio inakimbiza wengi...
Maana wanahofia kubadilikiwa siku za usoni...

Nimeishi na wakurya toka utotoni; nakiri wana mvuto sana wanaume wao ...saaana...na ni wapole...tatizo watu tulikuwa tunaogopa kuchenjiwa siku za usoni...

Wasukuma wana vyote...uzuri, upole na malovedave...
 
Back
Top Bottom