MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
Eeehh....
ukweli ndio huo hawa watu wanapenda sifa. kula ugali na mtindi kutwa mara tatu haoni shida .... uwiii yena wanapelekeshwa sana na watu .....na sio majasiri wanapenda kudeka ovyo
Eeehh....
ukweli ndio huo hawa watu wanapenda sifa. kula ugali na mtindi kutwa mara tatu haoni shida .... uwiii yena wanapelekeshwa sana na watu .....na sio majasiri wanapenda kudeka ovyo
Msukuma nimepata promo kiulaiiini.
Taku tafuta pm, nikimaliza kuuza ng'ombe
kama vipi usiuze njoo nao tuwafuge....lol
labda wachaga, lakini wakurya hapana....
ni shida yani....Hapo umenena......wakurya mapanga shaaaa
hii ni zaidi ya promo hivi wakurya na ukali wote ule,lugha za command mmh labda....make kila mtu anavutiwa na yake may b kuna wanaopenda huo ukali
mimi binafsi nampenda mwanaume MBABE sipendi legelege
mada yako ina ukweli
wakuria sio wababe sema wanajua kutumia mapanga ila hakuna kabila ambalo halina wababe ubabe upo kwa mtu mwenyewe sio kabila