Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wa kikurya

Wasukuma ndo huwa tunapendwa kiulani sana na tunajua kujali,kuheshimu,na pia kunako majambozi ni wataalamu sana!!!!!!Gete gete shiiiiii!!
 
Kama ukorofi na vipigo vimekuwa vivutio siku hizi, sawa...
 
Mimi ni mkurya! Generally wanaune wakurya wana asili yaku command, wanacho sema mara nyingi wana taka kifanyike kama alivo sema, akisha amua ndio kaamua, ni watu majasiri kuthibitisha hilo nenda jeshini wame rundikana huko kulinda taifa, hawa pendi dharau hasa hasa kutoka kwa mwanamke hii tabia mimi nime irithi mwanamke nifanyie yote ila sio dharau mixer kuni semasema kwa watu nita kubutua kwa kweli, wanajituma hasa katika kutafuta maendeleo inshort niwa chapa kazi sio watu lege lege, wana wapenda sana mamazao huenda kuliko hata babazao, mwanaume wa kikurya ana penda mwanamke mtulivu na mwenye kujiheshimu na msikivu kwa sababu wao wana penda sana kusikilizwa. *NOTE * hakuna kabila bora Tanzania yote yana madhaifu yake na ndio maana wengi wana penda kuo au kuolewa na kabila tofauti na pili sija wai kuona tuzo za makabila. Kwaio fata moyo wako! Na pili elimu tuna pata ina tusaidia kuachana na mila zaki pumbavu za makabila yetu olewa na mkurya wa mujini alie zaliwa mujini kakulia mujini uta enjoy. Sasa funga safari eti unaenda tarime vijijini huko kutafuta dume liku oe uta pata tabu.
Wasukuma:
Mimi hawa nime soma nao wengi tu nawa jua vizuri, kwanza ni waoga, ni watu waku jitenga tenga sana kwenye jumuia ya watu, na waki kaa kwenye kikundi jua wana muongelea mtu ana kumsema mtu kama ni kwa ubaya sijui kama ni kwa wema sijui, sio wa bahiri, niwa pole, ila wana vimkwara mshenzi visi kutishe, wana penda wali hawa kama watoto wadogo afu wana kula sana pia, ...
**kwahiyo ** hamna kabila perfect asilimia mia, kabila flani niwa chawi, kabila flani wana kula sijui mbwa, kabila flani wana kula mizizi ya miti, kabila fulan wana kunywa damu na nyama mbichi ya ng'ombe, kabila flani wana toa sana kafara za watoto Na ndugu, kabila flani ni weusi sana, kabila flani wana asili ya ufupi (nyadundo ) .kwaio bwana hivi vitu niku tafuta mtu mwafaka anae kufaa kulingana na mahitaji yako? Na wapo wengi tu ambao mila zaki jinga jinga hawana muda nazo wanaishi kama wazungu vile! Nina mtoto moja mzuri miaka 6 haamini kama mimi ni mkurya ana hisi namdanganya kisa niko tofauti sana!
 
Mimi ni mkurya! Generally wanaune wakurya wana asili yaku command, wanacho sema mara nyingi wana taka kifanyike kama alivo sema, akisha amua ndio kaamua, ni watu majasiri kuthibitisha hilo nenda jeshini wame rundikana huko kulinda taifa, hawa pendi dharau hasa hasa kutoka kwa mwanamke hii tabia mimi nime irithi mwanamke nifanyie yote ila sio dharau mixer kuni semasema kwa watu nita kubutua kwa kweli, wanajituma hasa katika kutafuta maendeleo inshort niwa chapa kazi sio watu lege lege, wana wapenda sana mamazao huenda kuliko hata babazao, mwanaume wa kikurya ana penda mwanamke mtulivu na mwenye kujiheshimu na msikivu kwa sababu wao wana penda sana kusikilizwa. *NOTE * hakuna kabila bora Tanzania yote yana madhaifu yake na ndio maana wengi wana penda kuo au kuolewa na kabila tofauti na pili sija wai kuona tuzo za makabila. Kwaio fata moyo wako! Na pili elimu tuna pata ina tusaidia kuachana na mila zaki pumbavu za makabila yetu olewa na mkurya wa mujini alie zaliwa mujini kakulia mujini uta enjoy. Sasa funga safari eti unaenda tarime vijijini huko kutafuta dume liku oe uta pata tabu.
Wasukuma:
Mimi hawa nime soma nao wengi tu nawa jua vizuri, kwanza ni waoga, ni watu waku jitenga tenga sana kwenye jumuia ya watu, na waki kaa kwenye kikundi jua wana muongelea mtu ana kumsema mtu kama ni kwa ubaya sijui kama ni kwa wema sijui, sio wa bahiri, niwa pole, ila wana vimkwara mshenzi visi kutishe, wana penda wali hawa kama watoto wadogo afu wana kula sana pia, ...
**kwahiyo ** hamna kabila perfect asilimia mia, kabila flani niwa chawi, kabila flani wana kula sijui umbwa, kabila flani wana kula mizizi ya miti, kabila fulan wana kunywa damu na nyama mbichi ya ng'ombe, kabila flani wana toa sana kafara za watoto Na ndugu, kabila flani ni weusi sana, kabila flani wana asili ya ufupi (nyadundo ) .kwaio bwana hivi vitu niku tafuta mtu mwafaka anae kufaa kulingana na mahitaji yako? Na wapo wengi tu ambao mila zaki jinga hawana muda nao wana ishi kama wazungu vile!

Well said mkuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom